Watesi wa Kabendera ni nani?

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,310
2,000
IGP hili anajifanya hajui ILA the so called UGAUDI wa Mr.Mbowe,huyu IGP naye anakwenda nyumba za ibada na kumwomba ALLAH wakati anajijua amejaa ushetani mkubwa unaoendeshwa na njaa yake ya tumbo.Historia itakuja kuhukumu yote haya ni just a matter of time.
 
MLO

Senior Member
Apr 2, 2012
187
225

Hii Dunia usipoijua hasa kukataa historia unapoteza Muda. Lipumba aligongwa virungu Kipindi cha IGP Mahita pale Kidongo Chekundu. Leo yuko wapi Lipumba na Mahita. Hili nalo litapita
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
8,814
2,000
Akihojiwa na BBC, Kabendera alisema ana video clips za watu waliomtishia maisha nyumbani kwake na kwenye gari. Anayo pia video clip ya watu waliotupa sumu ndani ya nyumba na kuua mbwa wake.
Wakati ufike hawa watu wawekwe hadharani. Hawana utu na ndo magaidi wa kushitakiwa
Hana
Amini ninachokuambia, hana hiyo kitu.

Angekuwa nayo ingeshafika mpaka EU
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,294
2,000
Akihojiwa na BBC, Kabendera alisema ana video clips za watu waliomtishia maisha nyumbani kwake na kwenye gari.

Anayo pia video clip ya watu waliotupa sumu ndani ya nyumba na kuua mbwa wake.

Wakati ufike hawa watu wawekwe hadharani. Hawana utu na ndo magaidi wa kushitakiwa
Meko yuko analiwa na funza,siro,mambosasa,diwani hao ndio watesi wake
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,556
2,000
Akihojiwa na BBC, Kabendera alisema ana video clips za watu waliomtishia maisha nyumbani kwake na kwenye gari.

Anayo pia video clip ya watu waliotupa sumu ndani ya nyumba na kuua mbwa wake.

Wakati ufike hawa watu wawekwe hadharani. Hawana utu na ndo magaidi wa kushitakiwa
Meko kafa,, mwingine Makonda yupo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom