Water quality laboratory technology

Water quality laboratory technology

muzdalifa

Member
Joined
May 30, 2014
Posts
58
Reaction score
8
Wakuu, nahitaji maelzo kidog ya koz hapo juu. Hata kwa sentensi moja tuu
 
Wakuu, nahitaji maelzo kidog ya koz hapo juu. Hata kwa sentensi moja tuu
Itakuwa inahusu viwango au ubora wa maji (maji safi kwa shughuli mbali mbali -kunywa, viwanda, kumwagilia au maji taka pia)kwa matumizi fulani. Kwa mfano maji ya kunywa (utaangalia maji kifisikali (rangi, uzito etc), kikemikali( madini), kibiologia (wadudu) etc). Sio tu ubora bali pia mbinu tofauti za kupima ubora na ugunduzi wa mbinu hizo. Ni vitu gani huathiri vigezo hivyo. Jinsi ya kufanya maji yawe na ubora utakiwao. Na kadhalika
 
TEKNOLOJIA YA MAABARA YA KUBORESHA MAJI
 
Back
Top Bottom