Mkuu plz naitaji Nch2 tu Kwa ajiri ya ku pump maji kutoa bwawani kuyaleta kwenye dimbwi nililo Jenga Ili kunipa urahisi wa kumwagilia.Hata BOSS ni nzuri, kuhusu bei inategemea na ukubwa wa pump ambao hutegemea matumizi yako.
Nunua honda mjapan ndio nzuri hata spare unapata hizi nyingine za india na china ikiwa mpya ni nzuri changamoto inakuja ikishaanza kuchokaHivi water pump generators,,,brand name gani ni imara kwa shughuli za umwagiliaji?..ushauri unahitajika,,ikiwezekana ata bei nifahamishwe..Asanteni kwa wasaa wenu