Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
Sisi tunajua mchakato mzima wa vizinga unavyoanza. Kinga boraAkipigwa kizinga kama hataki si anakataa tu jamani. Ukute huyo mdada hata hakua na hilo lengo.
Sisi tunajua mchakato mzima wa vizinga unavyoanza. Kinga boraAkipigwa kizinga kama hataki si anakataa tu jamani. Ukute huyo mdada hata hakua na hilo lengo.
Mimi hata misd kolu nikikuta sipigi.Sisi tunajua mchakato mzima wa vizinga unavyoanza. Kinga bora
Kwa hiyo tusiwe tunawaambia kuwa tunawapenda?Sisi tunajua mchakato mzima wa vizinga unavyoanza. Kinga bora
Tahadhari muhimuMimi hata misd kolu nikikuta sipigi.
Mimi hata misd kolu nikikuta sipigi.


Sasa hayo ni mahusiano ya aina gani au unasemea wale wa kupotezea muda?😂😂usikate tamaa nyingi waachie na wenzio
Tatizo mnaunganisha na kizingaKwa hiyo tusiwe tunawaambia kuwa tunawapenda?
Sasa kama hutaki kutoa si unakataa yaani ndio ushindwe kumjibu babe kuwa unampenda pia kisa kuogopa kuombwa hela jamaniTatizo mnaunganisha na kizinga

Mtego huo ukishajibu nakupenda pia utatepeta kukataa kizingaSasa kama hutaki kutoa si unakataa yaani ndio ushindwe kumjibu babe kuwa unampenda pia kisa kuogopa kuombwa hela jamani![]()
Mtego huo ukishajibu nakupenda pia utatepeta kukataa kizinga


ubahiri tu.🤣🤣🤣🤣
Hawezi elewaSisi tunajua mchakato mzima wa vizinga unavyoanza. Kinga bora
Meme Ndiyo niniahahaha inafurahisha ila meme zinatuobdolea makasiriko
Bambo mtu wa maana kabisa
Lazima muachane 😀😀