Abubakari Mussa
Senior Member
- Mar 26, 2020
- 129
- 197
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
Nimecheka sana mkuu😅😅😅😂😂usikate tamaa nyingi waachie na wenzio
Kabisa na siku zinaenda 😅😅ahahaha inafurahisha ila meme zinatuobdolea makasiriko
Ahahaahhh Ila meme zinafurahisha sana
Huwa wana waza meee,meee,meeee🤪
Abduli anajua tu sifa zikianza kizinga kinafuata
Akipigwa kizinga kama hataki si anakataa tu jamani. Ukute huyo mdada hata hakua na hilo lengo.Abduli anajua tu sifa zikianza kizinga kinafuata