Watendaji tofautisheni kati ya kumjibu Rais na kumjibu Mwenyekiti wa CCM!

Sifahamu professional za hao Wakurugenzi lakini nijuavyo baadhi ya professional ni vigumu kukariri namba mpaka wazifanyie rehersal za kutosha. Hao wangekuwa ni Wahasibu au Mainjia ungeshangaa ambavyo wangezikumbukua hizo takwimu hadi nukta. Hii imwamushe hata Mh. JPM mwenyewe ili azingatie taaluma muafaka katika uteuzi wake na hasa kama anataka wakurugenzi wakumbuke takwimu hata wakiamusha usinngizini.
 
Huyo rais mwenyewe mara kadhaa kama sio zote ameshindwa kutofautisha shughuli za kiserikali na za chama,
 
Watendaji wengi hushindwa kutofautisha ni wakati gani huwa wanatoa majibu kwa Rais, ambaye ndiye amiri jeshi mkuu na ni wakati gani huwa wanamjibu Mwenyekiti wa CCM. Nadhani ni muhimu kwa hawa maRC, DC na Wakurugenzi ambao wengi ni makada wakapewa elimu ya kutosha katika eneo hili.

Unaweza kumbishia au kumrekebisha Mwenyekiti wa chama utata unapojitokeza lakini kamwe huwezi kufanya hivyo kwa Rais wa nchi na hiyo ni itifaki. Umeulizwa swali na Rais jukumu lako ni kutoa majibu, kama hujui sema tu sina majibu kwa sasa mkuu full stop!! Ni hayo tu!
Lakini mbona alisema mbele ya hadhara amewasamehe, ilikuwaje tena akawatumbua? hapo ndipo kizungumkuti!!!
 
Watanzania wajinga ndio mtaji wa watawala.
Mkurugenzi asipojua figures hiyo barabara itakua mbovu au haitojengwa?
Kama lengo lake ni kujua takwimu kwanini asimuulize Engineer wa Halmashauri?
Kwanini asiulize Tanroads?

Kuna mambo rais anafanya ya kisiasa wala sio maendeleo kama tunavyodhani.
Engineer anapewa pesa na mkurugenzi. Engineer angejibu nini kama pesa hajapewa bado. Mkurugenzi anatakiwa ajue acheni siasa za hovyo
 
Watendaji wengi hushindwa kutofautisha ni wakati gani huwa wanatoa majibu kwa Rais, ambaye ndiye amiri jeshi mkuu na ni wakati gani huwa wanamjibu Mwenyekiti wa CCM. Nadhani ni muhimu kwa hawa maRC, DC na Wakurugenzi ambao wengi ni makada wakapewa elimu ya kutosha katika eneo hili.

Unaweza kumbishia au kumrekebisha Mwenyekiti wa chama utata unapojitokeza lakini kamwe huwezi kufanya hivyo kwa Rais wa nchi na hiyo ni itifaki. Umeulizwa swali na Rais jukumu lako ni kutoa majibu, kama hujui sema tu sina majibu kwa sasa mkuu full stop!! Ni hayo tu!
Unamzungumzia yule mama wa jana? Kama ni huyo alijibu kiuongozi akidhani anamjibu kiongozi anayejua mgawanyo wa majukumu bahati mbaya haikuwa hivyo. Hayo Mkuu alitakiwa ayajue kwenye kikao cha briefing ofisini kwa Mkuu wa mkoa kama Ali taka kujua na si kwenye mikutano ya hadhara, si nia yangu kumpangia wakati, sehemu gani aulize nini kwa wawakilshi wake
 
hata kama, bosi wako hawezi kukuuliza unajibu "siwezi kujua nina idara nyingi"
....Ndiyo ukweli huo ila shida mnapenda kudanganya na kudanganywa....Yaani badala ya kupasua kichwa kutatua kero za halmashauri nifanye kazi ya kukariri cash deposited in various accounts??
 
Huu ni upuuzi
Mkurugenzi hawezi kukariri takwimu za barabara,ana mambo kibao ya kufanya, kuna engineer kwanini asiulizwe?
That's upuuzi.
Hakuulizwa takwimu....kaulizwa kiasi cha pesa alichopokea....
Mkurugenzi hawezi kuwa na mambo mengi kumshinda Rais...ikiwa Rais anajua kuna fedha zimeenda, ni jukumu la mkurugenzi kujua kiasi...hata round figure tu ingetosha kuonyesha she knows something...
Not knowing even the estimates kwa mheshimiwa imetafsirika being negligent and negligence isn't tolerated kwa mkuu....

People must learn to change and adapt to the new ways of doing things....just sitting in the office kusubiri reports isn't good enough kwa utawala huu....

You want to survive then you have to change or change will change you....it's that simple...
 
Sifahamu professional za hao Wakurugenzi lakini nijuavyo baadhi ya professional ni vigumu kukariri namba mpaka wazifanyie rehersal za kutosha. Hao wangekuwa ni Wahasibu au Mainjia ungeshangaa ambavyo wangezikumbukua hizo takwimu hadi nukta. Hii imwamushe hata Mh. JPM mwenyewe ili azingatie taaluma muafaka katika uteuzi wake na hasa kama anataka wakurugenzi wakumbuke takwimu hata wakiamusha usinngizini.
Yule mama ni mhasibu....
 
Mama ameulizwa kiasi cha pesa kilichotumwa na serikali! Hajaulizwa kingine. Na hela yote inayoingia wilayani inapitia kwa Mkurugenzi. Leo tunaambiwa hajui! Tubadilike.

JPM tunyooshe tuu hakuna namna. Critics wataishia kupiga kelele kwenye keyboard. and that is it!
Tuliza akili kwanza, unaropoka kishabiki sana, hebu jiulize hao wakurugenzi wanapatikanaje?
Kwanini wabovu? Nani aliwateua watendaji wabovu??

Ukipata majibu ya maswali hayo unganisha dots... Tatizo linaanzia wapi??
Kwanini leo mnashangilia mnaowateua na kesho mnashangilia mnapowatumbua??
 
Nyoooo!!!!
Yule mama ni genius. Kajibu very directly: hawezi kukariri madata ambayo yapo yameandikwa na mhasibu yupo. Raisi akiuliza swali la kipumbavu linapaswa kujibiwa kipumbavu, maana huo utamaduni wa kutaka kuabudiwa ni ushensi wa tabia.
Wa kuabudiwa ni Mungu pekee.
Katika dunia ya viongozi unampa ushujaa wa majibu ya kipumbavu? Nchi gani Rais atajibiwa kipuuzi hivyo halafu abaki? au unaleta mambo ya kufa kishujaa? Hakuna shujaa marehemu, weweee!
 
Unafikiri Issue ni mishahara tu. Mtu ukipangiwa kazi iliyo juu ya uwezo wako ni vema kusema! Yaani Mkurugenzi mtendaji hijui pesa za Road Fund unashindwa na diwani jamani wa darasa la saba. Shame on her kwa kweli.
Nilicho jibu ni haya maneno "hana kazi sasa, akale upuuzi". Kama anapangiwa kazi nyingine wote twajua atakua na mshahara, na nikasema si ajabu akahama na mshahara wake. Sikujibu zaidiya hapo.
 
Lisu yupo wapi. Wa ajabu nani kati ya Rais na aliye kitandani mwezi wa pili huu. Mpeni Rais heshima yake. Huwezi tu ukamwita wa ajabu. Bunge limeanza bila lissu mjanja eti
Aisee, wewe utakuwa unaishi kwa posho za rangi ya kijani unahisi rais ni Mungu?
 
Engineer anapewa pesa na mkurugenzi. Engineer angejibu nini kama pesa hajapewa bado. Mkurugenzi anatakiwa ajue acheni siasa za hovyo
Nini maana ya kuwa overall in charge mkurugenzi ni overall in charge? Kwa hiyo mkurugenzi anachosema kuwa post aliyopewa ni useless kuwa raisi akitaka information awaulize wakuu wa vitengo.Ina maana yeye kazi yake kusinzia ofisini akila mshahara na marupurupu ya ukurugenzi tu na kupiga umbeya ? kuwa kazi yake ni kumwelekeza raisi amuulize nani .Kageuza kazi ya ukurugenzi kuwa kazi ya receptionist anayeelekeza watu waende ofisi ipi akiwemo raisi kwa taarifa wanazohitaji.Shame on her.Anafaa kuwa receptionist kuliko kuwa mkurugenzi
 
Huu ni upuuzi
Mkurugenzi hawezi kukariri takwimu za barabara,ana mambo kibao ya kufanya, kuna engineer kwanini asiulizwe?
That's upuuzi.
Mkuu mbona meya na m/kiti ambao.CIO watendaji wamejibu haiwezekani meya ambaye sii mtendaji wa kila siku akuzidi wewe ambaye ndio kazi yako.tukubali hayo ni mapungufu kwa hao watendaji
Nyoooo!!!!
Yule mama ni genius. Kajibu very directly: hawezi kukariri madata ambayo yapo yameandikwa na mhasibu yupo. Raisi akiuliza swali la kipumbavu linapaswa kujibiwa kipumbavu, maana huo utamaduni wa kutaka kuabudiwa ni ushensi wa tabia.
Wa kuabudiwa ni Mungu pekee.
 
Mkuu mbona meya na m/kiti ambao.CIO watendaji wamejibu haiwezekani meya ambaye sii mtendaji wa kila siku akuzidi wewe ambaye ndio kazi yako.tukubali hayo ni mapungufu kwa hao watendaji
Kuna mijitu hapa imepigika na serikali hii, sasa kila anayeonekana kujikakamua kijinga-jinga kupambana na rais, wanampa sifa. Mtu ni mkurugenzi halafu anajidai hajui hata bajeti ya sekta muhimu kama hiyo. Ktk halmashauri; elimu, afya na barabara ndo zinabeba sehemu kubwa ya bajeti, halafu yeye hajui, anajua nini sasa!

Majibu yake eti nina mambo mengi, yapi? Kumbuka bajeti ikipitishwa inakaa mwaka mzima ni hiyo hiyo! kwa maana nyingine mwaka mzima unaelekea kuisha yeye hajui hata bajeti ya barabara! Watu hawa ni kufukuza tu!!
 
Mleta mada ni robotic brain - purely unemotional. rais ni mtu kama wewe na mimi hivyo hapaswi kusujudiwa kama wewe unavyotaka kutuaminisha.
 
Back
Top Bottom