Watendaji tofautisheni kati ya kumjibu Rais na kumjibu Mwenyekiti wa CCM!

Road Fund anaulizwa mkurugenzi wa halmashauri wakati tuna wakala TARURA ambaye ameanzishwa na wala hawawajibiki kwa Mkurugenzi!
 
Watendaji wengi hushindwa kutofautisha ni wakati gani huwa wanatoa majibu kwa Rais, ambaye ndiye amiri jeshi mkuu na ni wakati gani huwa wanamjibu Mwenyekiti wa CCM. Nadhani ni muhimu kwa hawa maRC, DC na Wakurugenzi ambao wengi ni makada wakapewa elimu ya kutosha katika eneo hili.

Unaweza kumbishia au kumrekebisha Mwenyekiti wa chama utata unapojitokeza lakini kamwe huwezi kufanya hivyo kwa Rais wa nchi na hiyo ni itifaki. Umeulizwa swali na Rais jukumu lako ni kutoa majibu, kama hujui sema tu sina majibu kwa sasa mkuu full stop!! Ni hayo tu!
ili kutoa huu utafaruku ni vizuri tukavitofautisha hivyo vyeo. ili mtu ajue leo anamjibu Mwenyekiti wa CCM na si Rais wa nchi.

Ingekuwa kuna room ya kujitetea popote, hao jamaa 2 wanaweza kushinda kesi kwa utetezi kwamba walijua ni mkutano wa chama chao CCM na mwenyekiti ndiye alikuwa anahububia.
 
Kauli ya yule mama ya "mwisho" siwezi kudanganya/kusema uongo' ni kauli iliyotia huruma sana katika ile hadhara na hata kwa wale walioisikia baadaye. Amini usiamini hata ule msamaha wa Rais ulitokana na huruma yake iliyosababishwa na kauli ile.

Sasa washauri wanao mfanya Rais kuonekana kuwa mtu wa ndimi mbili sijui. Busara ingekuwa pamoja na msamaha ule wangepewa karipio kali kwa maandishi ingetosha hata kupeleka ujumbe kwa watendaji wengine serikalini.
Mkuu unavo manage watu zaid ya elfu tano. Ambao wana elimu ya kutosha na umewapa majukumu makubwa ya kusimamia fedha za wananchi, unapaswa kuwa na utaratibu ambao hauangalii sura au kauli ya mtu. Kila mtu ajue kuwa uki mess up umekwenda na maji. Wale watu walionyesha weekness kubwa mno. Ndo maana hata mbunge alilalamika kuwa hakuna hela ya barabara iliyotumwa. Hayo maswali walipaswa kuyajibu wao.

Mbunge anasema hakuna hela iliyotumwa, mkurugenzi anaulizwa anasema hajui kitu then ww ungepaswa kumuuliza nani.

Mimi sijui kama mnaelewa mnachoandika. Ndo maana wawekezaji wanakuja wanasema elimu yetu haiwaandai watu wetu kuwa bora. Elimu yetu ilikuwa imebakwa. Wale wote wana masters lakin wanaenda kwenye mkutano na rais hawajui kitu. Maana ya kwenda pale ni kumsaidia rais kujibu maswali. Lakin ww mwenyewe Director wa wilaya hujui. Yaan unasema una mambo mengi hujui kitu. Hata kukadiria tu kuwa ni zaid ya milion kadhaa hujui. Halafu rais afanyeje sasa. Aseme nn. Kama watendaji wake ndo wale. Fukuza , tuna wasom wengi sana wenye uwezo wa kuwa bora zaid ya wale.

Unajua hata kama ungekuwa ni ww una ka duka kako, huwezi kujibu kuwa hujui bidhaa fulan kama ipo dukan au hujui ipo kias gan wakat ni duka lako na unajua kuwa huwa unaagiza kiasi gan na movememt ya bidhaa hiyo kwa siku ni kias gan na kwa siku hiyo lazima itakuwa imebaki kias gan. Kama hujui basi hufai kumilik duka.

Sielew kama watu wanajua maana ya mkurugenzi, mkurugenzi ndie anaesimamia fedha zote za wilaya , maendeleo yote na ndio director. Yeye ndie anaejibu maswali yote ya waheshimiwa madiwan na kutoa muongozo wa serikali.

Sasa kama wale wako vile, wanajibu vipi maswali ya madiwani. Mimi sipati picha wanawezaje kutoa majibu kwa madiwan wakati wenyewe hawajui kitu.

On sasa madiwan wameulizwa wamejibu vizuri wakati majibu waliyojibu lazima waliyapata kutoka kwa mkurugenzi. Lakin mbona yeye mwenyewe alijibu hajui.

Hivi ww unaelewa kilichotokea pale na weakness waliyo onyeshwa wale wakurugenzi. Hawafai kwa kweli
 
Naunga mkono hoja!
 
Huu ni upuuzi
Mkurugenzi hawezi kukariri takwimu za barabara,ana mambo kibao ya kufanya, kuna engineer kwanini asiulizwe?
That's upuuzi.

Kwani aliulizwa barabara ya km ngapi zimejengwa?au kaulizwa pesa ya barabara iliyotumwa wilayani kwake ni kiasi gani kutoka serikali kuu.mbona yeye JPM anatakwimu kibao za fedha zinazotumika kwenye miradi mbalimbali basi angekuwa kila kitu anamuuliza waziri wa fedha.
 
Nyoooo!!!!
Yule mama ni genius. Kajibu very directly: hawezi kukariri madata ambayo yapo yameandikwa na mhasibu yupo. Raisi akiuliza swali la kipumbavu linapaswa kujibiwa kipumbavu, maana huo utamaduni wa kutaka kuabudiwa ni ushensi wa tabia.
Wa kuabudiwa ni Mungu pekee.
Wewe pole sana! Hivi unajua cheo cha Mkurugenzi Mtendaji na majukumu yake?!?!?! Yaani ndio mnataka Viongozi pumba namna hiii. Big No. Naweza kukubali Rais angepunguza jazba lakini Mkurugenzi mtendaji eti ngoja muhasibu ajibu. Type ya Wakurugenzi hawa ndio wanaoibiwa kwani wala hajui kinachoingia na kutoka Shame on her na katuangusha wanawake kwa kweli. Ambao tuna asili ya multitask!
 
Nilifikiri wanapangiwa kazi nyingine na usishangae wakahama na mishahara yao.
Unafikiri Issue ni mishahara tu. Mtu ukipangiwa kazi iliyo juu ya uwezo wako ni vema kusema! Yaani Mkurugenzi mtendaji hijui pesa za Road Fund unashindwa na diwani jamani wa darasa la saba. Shame on her kwa kweli.
 
Mama ameulizwa kiasi cha pesa kilichotumwa na serikali! Hajaulizwa kingine. Na hela yote inayoingia wilayani inapitia kwa Mkurugenzi. Leo tunaambiwa hajui! Tubadilike.

JPM tunyooshe tuu hakuna namna. Critics wataishia kupiga kelele kwenye keyboard. and that is it!
Ulikuwa umepinda?
 
Sasa hapo seminar elekezi ya nini? Yaani DED ambaye ni accounting officer wa halmashauri hajui pesa ya barabara ni kiasi gani iliyoletwa na serikali?

Ajabu atakuwa anajua kiwango cha malipo ya posho anayoidai serikali
Kabisa kabisa! Ni aibu mno kuwa na viongozi wa aina hii!
 
Engineer wa Halmashauri na Mweka Hazina wangeweza kusaidia kutoa hizo figures kwa sababu ndio wahusika wakuu
Mungu wangu huyu Mama pesa zingeliwa bila kujua! Hapana frankly speaking hafai!
 
Kwa hiyo kwa muundo huo mkurugenzi anatakiwa akariri kasma za kila idara na vitengo vyote ? Yani ameze vyote viwe kichwani akiulizwa awe na Jibu la hapo kwa hapo? Semeni ukweli jamani ! Tumwogope Mwenyezi Mungu jamani !
Sasa wewe ukiulizwa ada ya motto wako mwaka jana umetoa kiasi gani utasema ngoja nimuulize mtotto wangu kwanza. Hivi jamani mnajua kazi ya Mkurugenzi wa Wialaya alakini? Maaan tusiwe tunabishana na watu wanaodhani kazi ya |Mkuu wa wilaya ni kuuuza sura. Mimi nimefanya kazi miaika 17 iliyopita wilaya Fulani . Mapaka leo najua vijiji vya wilaya zote nilizofaiya kazi. Average ya mapato. etc
 
Huu utamaduni wa kutafuta kiki kwa wananchi ambao asilimia kubwa wana kiwango kidogo cha uelewa haukubaliki aiseee! Ona wakurugenzi walivyoaibika mbele ya kadamnasi!! Haya alipaswa kuyauliza alipokuwa anaongea nao wakati wa briefings na yeye angekuja kwenye huo mkutano akiwa ameshapewa takwimu zote! Huu ni udhalilishaji wa kijinsia!
 
Sasa wewe ukiulizwa ada ya motto wako mwaka jana umetoa kiasi gani utasema ngoja nimuulize mtotto wangu kwanza. Hivi jamani mnajua kazi ya Mkurugenzi wa Wialaya alakini? Maaan tusiwe tunabishana na watu wanaodhani kazi ya |Mkuu wa wilaya ni kuuuza sura. Mimi nimefanya kazi miaika 17 iliyopita wilaya Fulani . Mapaka leo najua vijiji vya wilaya zote nilizofaiya kazi. Average ya mapato. etc
Toka huko na wewe liongo wewe!! Eti average ya mapato ya vijiji vyote, kwa hiyo ulitaka na wakurugenzi nao waseme average ya fedha iliyotengwa kwa ajili ya barabara? Tuache umazwazwa,, kwa ufupi ni ujinga uliopita kiwango kutafuta kiki kwenye majukwaa ya siasa!!
 
Hata kama umeniteua nina paswa kukuheshimu nawala si kukuogopa, na ni aheri kufa ukiwa umesimama kuliko kufa ukiwa umepiga magoti kisa eti umeniteua, teuzi kama hizo za kunyanyasana hazifai kabisa MURA.
 
Semina elekezi kwa viongozi wakuu wa serikali ni muhimu sana. Ni muhimu kila upandeukafahamu haki na wajibu wake
Mkuu wala haiitaji seminar, hata wewe ukiamua kumpa Mama yako fedha, ni lazima atazihesabu ili ajiridhishe kiasi alichopewa.
Haiingii akilini Kwa mkurugenzi kutojua roughly kiasi gani kimeingia.
Vinginevyo,miradi inayoelekezwa katika wilaya anairatibu VP?
Report za utekelezaji azipitii?
 
Watanzania wajinga ndio mtaji wa watawala.
Mkurugenzi asipojua figures hiyo barabara itakua mbovu au haitojengwa?
Kama lengo lake ni kujua takwimu kwanini asimuulize Engineer wa Halmashauri?
Kwanini asiulize Tanroads?

Kuna mambo rais anafanya ya kisiasa wala sio maendeleo kama tunavyodhani.
Barabara za Halmashauri haziko chini ya Tanroad!! Mkuu jaribu kujielimisha kabla ya kutoa povu halafu povu lako linaharufu mbaya sana!
 
Unafikiri Issue ni mishahara tu. Mtu ukipangiwa kazi iliyo juu ya uwezo wako ni vema kusema! Yaani Mkurugenzi mtendaji hijui pesa za Road Fund unashindwa na diwani jamani wa darasa la saba. Shame on her kwa kweli.
Hata Mimi nimeshangaa mkurugenzi vitu vikubwa kama hicho alitakiwa kujua.projects ziko chache sana wilyani na ni za pesa nyingi.Kama hajui major things INA maana anachojua nini?
 
Back
Top Bottom