Watendaji tofautisheni kati ya kumjibu Rais na kumjibu Mwenyekiti wa CCM!

Nyoooo!!!!
Yule mama ni genius. Kajibu very directly: hawezi kukariri madata ambayo yapo yameandikwa na mhasibu yupo. Raisi akiuliza swali la kipumbavu linapaswa kujibiwa kipumbavu, maana huo utamaduni wa kutaka kuabudiwa ni ushensi wa tabia.
Wa kuabudiwa ni Mungu pekee.
Bora umemjibu anayeogopwa ni Mungu yaani eti niseme uongo kisa Rais anaforce nimtajie data.
 
Watanzania wajinga ndio mtaji wa watawala.
Mkurugenzi asipojua figures hiyo barabara itakua mbovu au haitojengwa?
Kama lengo lake ni kujua takwimu kwanini asimuulize Engineer wa Halmashauri?
Kwanini asiulize Tanroads?

Kuna mambo rais anafanya ya kisiasa wala sio maendeleo kama tunavyodhani.

Yeye si ndiye Raisi Kwanini asijue ni kiasi gani?
 
Omari Mkambala wa Magic FM (7/11/2017 08:2-6) anasema swali hilo rais analiuliza sana kwenye majimbo yanayoongozwa na wapinzani ili kuwa discredit wabunge wa upizani wanaosema wamewezesha barabara kujengwa. Anasema ndiyo maana kwenye hotuba ya jana eti Rais alisema "mbunge wenu anasema anajenga barabara nataka mjue hizo barabara zinajengwa na serikali kuu". Akazidi kusema Rais hawezi kuuliza swali hilo kwenye majimbo yanaoongozwa na CCM. Sasa kama hilo ndilo lengo mbona lile neno maendeleo hayana chama kama inakosa mashiko hivi.
mkuu hii kaongea Kibwana Datch sio Mkambala
 
Swali lilikua umepokea kiasi gani cha fedha za barabara toka road fund board?
Pesa yote lazima ipitie kwa mkurugenzi,kutokujua au kukumbuka amepewa kiasi gani,mkurugenzi atakua ni mzembe alietukuka,hapa ndipo tulipofikia,yaani mpaka aitwe muhazini,kwa kaambiwa tulitaka kujua salio?
 
Kwa hiyo kwako kutofautiana na mtazamo wa 'Rais' ni kuwa na majungu? Waogopa kuwa na mtazamo tofauti? Maana yake waogopa hata kujiruhusu kufikiri.
Kauri yako, au yake umeielewa?
Tutofautiane Sawa, tusidharauliane, badala ya kutumia hekima kutofautina, ametumia madharau
 
Watanzania wajinga ndio mtaji wa watawala.
Mkurugenzi asipojua figures hiyo barabara itakua mbovu au haitojengwa?
Kama lengo lake ni kujua takwimu kwanini asimuulize Engineer wa Halmashauri?
Kwanini asiulize Tanroads?

Kuna mambo rais anafanya ya kisiasa wala sio maendeleo kama tunavyodhani.

Engineer wa Halmashauri na Mweka Hazina wangeweza kusaidia kutoa hizo figures kwa sababu ndio wahusika wakuu
 
kujua ni kitu kimoja, kukariri ni kitu kingine, kusema ulicho kariri mbele ya rais ni kitu kingine, wanawake wana mambo mengi kichwani unaweza kuta jana jioni katoka kupata taarifa ya kuwa dogo janja anatoka binti yake mkubwa so ikamchanganya
 
Watendaji wengi hushindwa kutofautisha ni wakati gani huwa wanatoa majibu kwa Rais, ambaye ndiye amiri jeshi mkuu na ni wakati gani huwa wanamjibu Mwenyekiti wa CCM. Nadhani ni muhimu kwa hawa maRC, DC na Wakurugenzi ambao wengi ni makada wakapewa elimu ya kutosha katika eneo hili.

Unaweza kumbishia au kumrekebisha Mwenyekiti wa chama utata unapojitokeza lakini kamwe huwezi kufanya hivyo kwa Rais wa nchi na hiyo ni itifaki. Umeulizwa swali na Rais jukumu lako ni kutoa majibu, kama hujui sema tu sina majibu kwa sasa mkuu full stop!! Ni hayo tu!
Acha double standard mkuu,hata Rais kuna umuhimu wa kutofautisha ni muda gani anaongea kama Mwenyekiti wa CCM Taifa na muda gani anaongea kama Rais wa JMT.
 
IMG-20171107-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom