Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,676
- 272,524
porojo nonsense kabisa hii dahJuzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi kuingilia Kati Mama yake Malissa angetekwa na kuuawa
Hii Maana yake nipo kilos ambacho Waziri Jan a mamlaka nacho, n.a. asipoangalia imo simu haha yeye atatekwa
Aibu sanaGenge la bi chura na mafwele lina pawa
huyo simba nani sijui wanamuona ka pimbi tu!
Wew ndio porojo sasaporojo nonsense kabisa hii dah
tuliza mihemko bas gentlemanWew ndio porojo sasa
Kikosi cha Dully SykesJuzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi kuingilia Kati Mama yake Malissa angetekwa na kuuawa
Hii Maana yake kipo kikosi ambacho Waziri hana mamlaka nacho, n.a. asipoangalia iko siku hata yeye atatekwa
Amna wewe ndio utulize mihemkotuliza mihemko bas gentleman
calm down,Amna wewe ndio utulize mihemko
calm down,
porojo hazina maana yoyote gentleman
Mama yake ametekwa na hapatikani kwenye simu. Nimeona huko kwenye mitandaoJuzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi kuingilia Kati Mama yake Malissa angetekwa na kuuawa
Hii Maana yake kipo kikosi ambacho Waziri hana mamlaka nacho, n.a. asipoangalia iko siku hata yeye atatekwa
Sio kutekwa , watamvua cheo.Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi kuingilia Kati Mama yake Malissa angetekwa na kuuawa
Hii Maana yake kipo kikosi ambacho Waziri hana mamlaka nacho, n.a. asipoangalia iko siku hata yeye atatekwa
Serikali batili haitambuliki hata jehanumJuzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi kuingilia Kati Mama yake Malissa angetekwa na kuuawa
Hii Maana yake kipo kikosi ambacho Waziri hana mamlaka nacho, n.a. asipoangalia iko siku hata yeye atatekwa
Mpaka wazazi wako watakapotekwa ndio utajua kuwa hiyo ni nonsense!porojo nonsense kabisa hii dah
Mafwelesijeshi juu ya jeshi.hakiachi kitu. kikosi maalum chini ya kamanda nani vile?
Unapojitoa akili usijitoe zote uzibakishe hata kodogo kenge wa mto wami weweporojo nonsense kabisa hii dah