Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,913
Reaction score
133,926
Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa

Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa

Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela.

Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account.

Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu unaishia kupewa ahadi tu.

Nini kimewakumba benk hii iliyoaminika kwa ufanisi?
 
Back
Top Bottom