mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 291
KUCHEK MPIRA NA WANAWAKE NI STRESS TUPU (arsenal vs man u)
demu: baby yule jamaa ni CHRIS BROWN
jamaa: hapana anaitwa THEO WALCOT
demu: hee.. ile kadi ya njano ni ya nini?
jamaa: ni onyo tu, akipewa nyekundu anatoka
demu: na ya kijani je?
jamaa: hamna kitu kama hicho
demu: nataka arsenal washinde KOMBE LA DUNIA
jamaa: (kimya)
demu: yule mzee ni nani?
jamaa: ARSENE WENGER
demu: ooky.. kwaiyo na yule mwingine ni MANCHESTER WENGER..??!!
In this world nothing is certain than Tax and Death.