Watch SA MP fall off a chair during interview!

Ab. T, thank for sharing. It is so sad ...TBC 1 -are you there?

Kwa mtazamo wangu, huyu bwana angenyanyuka wakati kiti
kilipoalika the first time.Yeye aliona kama utani vile...mara dwaaahhh!!!..
mtu chini!!...kwi kwi kwi!

Imeonyeshwa jana kwenye MSNBC na KO and he kept on
repeating it....TBC nanyi mchunge eti!
 
man, it leaves in tears laughing!! so funny.... ulimwona alivyokakamaa ile mara ya kwanza kilipo crack... :D
 
huyo jamaa ana kujiamini kupita kiasi! yaani mtu anasikia KAPISH!!!!! halafu bado anaendelea kukaa! SBC kweli kiboko.
 
Hii ndiyo mentality ya viongozi wetu, wishful thinking, the fundamentals of the economy are solid wakati nchi ipo katika depression. Most of them are in denial like that.
 
Prof. Ndulu ameanza kuwa 'the economical comical alli' wetu!!
 
Dah, hii hapa kwetu ingeweza kutafsiriwa kama shambulizi kutoka kwa 'kamati ya ufundi' ya wapinzani wake wa kisiasa..

Alhamdulilah haijatokea hapa kwetu..ingesababisha tume kuundwa..
 
Hahahahahahah...I had to laugh at that one....:)
 
Back
Top Bottom