Elections 2010 Watch Out!!!!!!!!!

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
233
55
Jamani eee! kuna mtu kanidokeza kuwa ili vijana wengi wasipige kura kuna njama imefanyika, nayo ni kwamba, majina ya vijana wengi yametawanywa katika vituo tofauti ambavyo hawakujiadikishia wakati ule wa review voters' register ili wapate usumbufu wa kutafuta majina yao jumapili. Na kawaida ya vijana wakishazunguka vituo viwili au vitatu bila kuona majina yao huwa wanakata tamaa. Na mnajua vijana ( 18-45 years) ambao ndio wengi katika age ya voters wana-support nani.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa na ncha
 
Thanks for INFO
 
Hii imewakumba vijana hasa kule Iringa na Mbeya mjini. Hatua sahihi zinatakiwa kuchukuliwa haraka iwezekanavyo ili vijana hawa wasipoteze haki yao ya kikatiba kuchagua kiongozi anayewafaa.
Yale maandiko kuelezea uchakachuaji wa daftari la wapiga kura uliokuwa unafanywa na UWT ndiyo yanajidhirisha sasa..
 
Habari za uhakika kutoka kwa mtu aliyeko tunduma ni kwamba majina yanayokaribia mia sita ya waliojiandikisha hapo border ambapo ni jimbo la mbozi magharibi yamepelekwa kituo kingine cha mbali na hapo walipojiandikisha. Yamepelekwa jimbo la mbozi mashariki. Hii itakuwa ni mbinu ya nec kutaka kuinusuru ccm maana ni wazi Siame ambaye ni mgombea wa ccm katika jimbo hilo la mbozi magharibi hana chake pale. chadema you have to find out of this evil tricks as soon as possible
 
Hata iweje wajamen wajamen wajamen, siku ya juma2 haitojirudia kamwe i mean jk Vs Slaa. 2tafute majina mwanzo mwisho hata km ulijiandikisha msewe hujaona jina njoo mpaka kibangu tafuta jina u vote,les mek chenjez
 
Back
Top Bottom