Watch-out There Will Be A Failed Kidnapping/Assassination Plan at the Beginning of 2013!


Take criticism positively no matter how bad it may be, that is the only way to improve your learning in anything!
 
Those with eyes let them see!

My Post made on 29th December 2012 22:19
Chintu post made on 30/12/2012 at 19:48hrs
.....wanayo plan B. Wamepanga kutumia vurugu zinazoanzishwa na kundi la masalia ndani ya CHADEMA kuleta mauaji. Wanaweza kabisa kuwadhuru au kuwaua akina ZZK na kundi lake ili kujustify kuwa akina Dr Slaa ni wauaji.....
 
Last edited by a moderator:
Mh nilimwamini zamani lakini kachafuka mbaya mnafiki balaa mkwepeshaji wa mada na mchawi mshirikina, mpango wake hautafanikiwa Amini nawaambieni kama Mungu alivyowaumbua magamba kwa madudu mengi mpaka kufikia wao kujivua nguo hadharani mwaka hu unaoisha leo, basi 2013 wasliti wote wa taifa hili hata guo ya ndani hawatabakinayo watakuwa watupu. kwakuwa huyu PM7 kadhihirisha uzandiki wake basi atabaki uchi. huu ni mwanzo tu mengi yaja.

Kushiriki dhambi shughuli maana utajitahidi kuficha walimwengu lakini aliyekufinyanga alikujua jabla hujazaliwa.
Najua unapita humu wewe Kijana Katubu mapema upate kukombolewa kutoka mikononi mwa Magamba.
cc. all JF GT
 
Any fool can criticize. But remember that not everyone that criticizes is a fool. To correct your English and to explain the mistakes in this forum will not be practical. Be a good learner. Kiingereza chako hakieleweki vizuri sana.

 
huyu big headed ni Zitto au? ujumbe hauna maana kama walengwa hawamjui huyu big headed politician. inakua kitendawili sasa na siyo an informative piece to the public.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…