Mafuta yote ni mafuta ya CCM na nyinyi Watanzania MRIE tu. "Waheshimiwa" watapewa mamilion ya shares katika kampuni husika na kuwa mabilionea na nchi kuambulia 3% royalties. Naam Jasusi, hakuna nchi hata moja ya Afrika yenye mafuta mabyo ina rekodi nzuri katika rasilimali hii na ukitilia maanani mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo tumeliwa basi hapa pia ni lazima tuliwe kama ambavyo itakavyokuwa kwenye uranium.