watch Dstv free on vodacom!

mkuu service ya 3g unalipiaje me najua unapofungua tv online kupitia net ya 3g inakuwa na kasi na pesa inakwenda nyingi

Ni muhimu kuelewa hii ni partnership kati ya Dstv na Voda, so Voda wanapitisha data zote za Dstv BURE kwa mtumiaji, tofauti na kuangalia video kwenye site zengine mtandaoni.
 
Ni muhimu kuelewa hii ni partnership kati ya Dstv na Voda, so Voda wanapitisha data zote za Dstv BURE kwa mtumiaji, tofauti na kuangalia video kwenye site zengine mtandaoni.

kuna mtu yoyote alofanikiwa kuangalia hzo chanel bure?
 
jana chanel zote zlikua znaonesha ila leo znagoma labda mtandao hauko poa,bt wanakula hela mbya
 
mbona wengine kwenye cm zetu inatukatalia?? ingawa zina uwezo wa kutumia 3G, nimejaribu na kwenye zote mbili 2G&3G nayenyewe inakataa nifanyeje??
 
nimejaribu na imekubali but 3g ya voda is slow so nika save streaming link ya super sport ili nitumie airtel 3g and it worked with airtel.
 
haina maana kama hakuna njia ya kusubscribe ili mtu uangalie bila tatzo!
 
So much hype for something that is in every sense very nascent! Streaming live video broadcast via 3G is like trying to do naught to sixty in 3 seconds in a 1920s automobile! You'll have networks chocking and important voice bandwidth compromised in no time. Tusubiri 4G itakayoanza kuonekana in the next 3 to 4 years around the world. Well, 2 years kama standard zake zinakuwa approved soon na The International Telecommunication Union for Radiocommunication Sector (ITU - R). Cause even those standards currently being taunted as 4G (i.e. WiMax & LTE) are actually not 4G compliant according to the ITU-R!! Wee hebu fikiria, hata video call tu yenyewe mpaka leo hii bado inasuasua pamoja na kuwepo kwa handset zenye front facing camera kwa zaidi ya miaka minne sasa, hata huko Ulaya na Amerika video call na live video mobile streaming bado vinasuasua. But who am I to dissuade an easily led customer base, not only that; who am I to discount this kind of hyped up IT advancement taking into consideration that M-PESA is one of Africa's success story whereas in Europe and America similar things have failed.

Happy streaming!

Steve Dii
 
ur point exactly........?
 
Basi labda kuna tatizo
Jaribuni haya
In general, all 3G handsets with live video streaming capability will be able to access DStv Mobile from Vodacom. Users may check if they have ‘Real Player’ application on their phones.
·
At present, iPhone, BlackBerry and Opera Mini browsers are not supported. In the case of Opera Mini, user must use the device’s native browser.

·On some devices, the video player may not be able to access until APN is selected. This should be ‘Vodacom Internet’ set under ‘Settings’ or ‘Options’ of the player

Should you have any questions or concerns please dial 100 (Kiswahili) or 101 (English) directly from your cellphone at no cost
Kang Iphone has live streaming capabilities through its VLC Player application which is to be installed on the phone',,hii dstv ya vodacom wanazingua tu ni lazima ilipiwe, kuna hizi protocol kwaajili ya simu na zina quality ya 3gp. kwenye computer paste hiyo protocol kwenye vlc na kwenye simu ipaste kwenye real player..

ETV 2 – rtsp://94.75.250.53/rtplive/etv2low.sdp
NTV – rtsp://94.75.250.53/rtplive/ntvlow.sdp
NK NEWS – rtsp://94.75.250.53:554/rtplive/rknews.sdp
RAJ NEWS - rtsp://94.75.250.220:1935/live/rajnews2.sdp
STUDIO N – rtsp://94.75.250.220:1935/live/studion2
SVBC - rtsp://94.75.250.220/rtplive/svbclow
ZEE TAMIL - rtsp://121.244.145.226:554/prf1/cid_54.sdp
ZEE KANNADA - rtsp://121.244.145.226:554/prf1/cid_55.sdp
ZEE BANGLA – rtsp://121.244.145.226:554/prf1/cid_52.sdp

HOLLYWOOD CHANNELS
MUSIC BOX - rtsp://stream.the.sk/live/musicbox/musicbox-3m.3gp
AFTVAdventure - rtsp://video3.multicasttech.com/AFTVAdventure3GPP296.sdp
AFTVClassics.- rtsp://video3.multicasttech.com/AFTVClassics3GPP296.sdp
AFTVComedy - rtsp://video3.multicasttech.com/AFTVComedy3GPP96.sdp
AFTVCrime - rtsp://video2.multicasttech.com/AFTVCrime3GPP296.sdp
AFTVHorror - rtsp://video2.multicasttech.com/AFTVHorror3GPP296.sdp
AFTVMystery – rtsp://video2.multicasttech.com/AFTVMystery3GPP296.sdp
English songs live – rtsp://stream.zoovision.com/live.sdp
B4U Music – rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch12zqcif.3gp
Clubbing TV – rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch21yqcif.3gp
Bella Club[18+] – rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch29yqcif.3gp
PDF – rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch11yqcif.3gp
iMusic1 – rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch26yqcif.3gp
Fation tv FTV [18+]- rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch27yqcif.3gp
HiTV [africa]- rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch13yqcif.3gp
WWF best channel- rtsp://217.146.95.166:554/playlist/wwf_coral_triangle_turtle_qcif1_ym1.3gp
Ads channel (showing best ads)- rtsp://217.146.95.166:554/vod_rtsp/goviral/swatch_greece_qcif1.3gp
Guitarist TV (teach guitar)- rtsp://217.146.95.166:554/playlist/ch1yqcif.3gp
 
kwenye symbian naipata vizuri hii huduma.
tatizo kwenye Android inagoma kabisa.!
 
Mimi naona uelewa wangu kuhusu bure ni tofauti na wachangiaji wengine. Ninachoelewa mimi kuhusu bure ni kwamba "hakuna malipo ya mwezi"! Ili kustream hizo channel za dstv lazima uwe na bundle. Hii ni kwa sababu traffic charges ni za vodacom na haziwezi kuwa sehemu ya mkataba wao na dstv kwa kuwa haziwahusu dstv. Mfano mzuri ni mafaili tunayo downoad kutoka internet. Utakuta wanasema free download mfano mp3, 3gp videos, applications, nk. Je unadownload bila kuwa na salio? La. Ina maana hununui hilo faili. As simple as that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom