Watch "Congo - Yondo Sister - Mbuta Mutu - Copyright claim by Believe" on YouTube

tujikumbushe kidogo wale "vijana wa zamani" juu ya nguli huyu wa muziki wa dansi-Yondo Sister na kibao chake "mbuta mutu"...
inasemekana alipohamia Ufaransa miaka ya 90 baadae aliamua kuachana muziki na kuokoka na kuwa muinjilisti hadi sasa hivi.
 
mimi naamini katika matendo yampendezae mungu hivyo sioni umuhimu wa kutangaza kuokoka!
 
Back
Top Bottom