Watch "ahmada umelewa - Bi Kidude" on YouTube

Kitwanga ana hali mbaya 😑😑😑😑😑😑
 
Eeeh bwana Bi. Kidude hapo aliua.
Napenda sana anavyoghani pale mwishoni.
R.I.P
 
Kwa mfano kwa sasa Hamada ndiyo nani?
Kitwangaji?
Hata mie sijui! Lakini kama alivyosema Lema wako wengi.
Na yule wa Bunge la EAC ndio usipime kabisa! Mzee wa kofia oyeee, kifimbo oyee!
 
Hata mie sijui! Lakini kama alivyosema Lema wako wengi.
Na yule wa Bunge la EAC ndio usipime kabisa! Mzee wa kofia oyeee, kifimbo oyee!
Teh teh! Umenikumbusha Jangwani mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…