Watawala wenye background ya kijeshi hawafai

Watawala wenye background ya kijeshi hawafai

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,771
Reaction score
165,406
Niliwahi weka huu uzi mwaka mmoja au miwili iliyopita niikieleza kuwa watawale wengi walipoita jeshi hawafai kuwa maraisi hata kama watachaguliwa kidemokrasia.

Nakumbuka uzi ule uliondolewa na mods walikuwa waungwana kwa kunieleza sababu za kuondoa ule uzi.

Hata hivyo,kwa yanayoendelea kipindi hiki yananifanya nikumbuke ule uzi wangu na zaidi nawasihi mods hapa walipo wavae viatu vya wapinzani na waache watu wajadili mtazamo huu nilionao kuhusu wanajeshi wengi kuwa viongozi wa nchi na matendo yao wawapo madarakani.

Mwanajeshi utamtambua tu kwa tabia na matendo yake na wala si kwa kuvaa au kutokuvaa kombati.

It pains a lot!

Narudia,mods muwe wazelendo kwani hata nyie hamtabaki salama na wote ni waathirika wa mfumo uliopo.
 
naunga mkono mabadiliko lakini lowassa hawezi pata kura yangu
 
CCM na ACT utawajua tu!

Ni ujinga uliopitiliza kufikiri watu wote lazima tuwe UKAWA kama ilivyo kuwa ujinga kulazimisha watu wote wawe CCM.
Ni ukweli usiopingika wengi tunayaunga mkono mabadiliko na hakika tunataka kuyaona mabadiliko yakitimia lakini mabadiliko ya kuindoa CCM ya magufuli na kuiweka UKAWA ya lowassa ni sawasawa na kufuta sifuri na kuandika zero.
Lowassa hachaguliki nami kura yangu haipati hata kama angekuwa na uwezo wa kuendesha guta
 
Teh teh teh teh
 
Kalie chooni, sio kila kitu anafungua thread, grow big balls
 
Back
Top Bottom