MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Sijui ni kwanini kila Mwananchi hivi sasa anapokutwa na janga anajuta na kulitaja jina la Lowassa kwa hasira"ni mara kumi ya Lowassa, hana makuu baba wa watu".Hii imedhihiri maeneo mengi nchini.
Binafsi ndio napata jibu la mwisho kua sio kweli kua huyu bwana alikua akihonga kila mwananchi ili apendwe, ni aina yake ya uongozi tu ndio uliosababisha mahaba yake haya kwa wananchi.
Nataka kusema kua watawala na utendaji wao ndio waliosababisha wanamchi watamke hayo, hivyo watawala walikua na uwezo wa kukwepa kauli hizi za wananchi.
Ukiona mkeo anamsifia mume wa mtu jua kua kuna kitu unakikosa.