Watawala wanapiga propaganda za unga wa kokeni,ambao hautuhusu sembe Tsh 2000

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Watanzania tuamke,hawa wako bize kuongelea unga wa kokeni kama ni dharura sana kwa taifa,wakati dharura halisi ni unga wa sembe!!

Tunaingizwa chaka kirahisi sana na propaganda machinery
 
Watanzania tuamke,hawa wako bize kuongelea unga wa kokeni kama ni dharura sana kwa taifa,wakati dharura halisi ni unga wa sembe!!

Tunaingizwa chaka kirahisi sana na propaganda machinery
Kweli ndgu yangu..ningepata atlist jamii ya watu 500000 kama nyie basi tungejitambua mnooooo
 
Huku Tunapoelekea Mtu Anaekula Ugali Ataonekana Tajiri Na Hazitapita Siku Nyingi Kula Ugali Itakuwa Ni Anasa
 
mtatia adabu tu watz wanafiki sana

Sijui uko nchi gan ww!!
Ok yote kwa yote kuna namna nawe unaumia hata uwe kaburini upata msongamano wa marehem wa njaa na kukosa madawa hospital!! Achilia mbali ajali kila kona
 
097a1534fdc31627661e29610b40df4f.jpg
 
Mliambiwa itafika mahali debe moja la mahindi liwe na thamani ya ng'ombe watatu... Viva Ccm
 
Mliambiwa itafika mahali debe moja la mahindi liwe na thamani ya ng'ombe watatu... Viva Ccm
Duh! Habari sana

Eti siku hizi kila habari ni unga wa kokeni na heroin na sio unga wa sembe ambao ni muhimu kwa watanzania milioni 50
 
Dawa zinazotumika kwa wingi ni heroin

Cocaine kwa Tanzania ni aghalabu sana
 
Back
Top Bottom