Watawala wa tanzania nadharau zao kwa wananchi wanaowaongoza

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
jamani tutafika kweli?

Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu maisha ya Dodoma yamekua magumu sana.....

Basil Mramba Waziri--- Ndege ya Rais Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata Wananchi Wale Nyasi.........

Magufuli -- Pigeni mbizi kama mkiona nauli ni Kubwa........

J.M.KIKWETE..- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala!......

Mustafa Mkulo -- Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake... Serikali haimo............

Stephen Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?...........

Mwantumu Mahiza - Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana.............

Jumanne Maghembe "Wazazi wawasomeshe watoto wao"WATOTO WA MASIKINI!!........

Kikwete - Ngeleja hawezi kuletea Mvua.........

Kikwette.... 1.Wanafunzi wanaopata uja uzito wakiwa bado mashuleni ni kiherehere chao.
2. Hii sheria nitaisaini kwasababu nisipofanya hivyo wenzangu hawatanielewa......

Sofia Simba- Wanawake Wanyimeni Waume zenu! ''TENDO LA NDOA'' Wakiwapigia kura Wapinzani............

Didas Masaburi - Wabunge wa DSM wanafikilia kwa Makalio.............

Ridhiwani Kikwete - Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini Nina kipande kidoogo cha Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma

Vogue mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini.. Lake Oil sio Yetu.........

Pinda: Vihela vyenyewe vidogo vinaishia kuwapa wapiga kura wetu wanapokuja dodoma.......

Kikwete: foleni dar es salaam ni ishara ya maisha bora........

Malecela-You can go to Hell!........

Mizengo pinda;.... tukishitaki mafisadi uchumi wa inchi utayumba.......

Jakaya..kikwete;ukitaka kula ni lazima na wewe uliwe..unataka kula tu bila kuliwa!!??.....haiwezekani!!!! -!..........

Anna Makinda: 'siasa ni wakati wa uchaguzi tu viinginevyo wananchi mtakufa masikini.........

Salva rweyemamu: Tungetaka tungemkamata balali lakini hatuna haja ya kumkamata-Ikulu.....!!........

"Jamani mbona hivi ni vijisenti tu! Chenge" (akihalalisha takribani zaidi ya $ 1M alizozipata kifisadi kuptia manunuzi ya Rada).....

"Mie sijali rangi ya paka najali kama anakamata panya" (Mkapa akiitetea contracted Manjement ya Tanesco (Net Group Solutions) .........

Anne Makinda-kilimo kwanza ni kwa wanaomaliza darasa la kumi na mbili wa shule za kata, sababu hawana nafasi huko juu na kuna wenyewe.........

MUNGU IBARIKI AFRICA....MUNGU IBARIKI TANZANIA.....kwaleo naishia hapo au ukiweza endeleza



 
Hayo ndo maneno ya viongozi tuliowachagua, hata sisi tutakuwa nayo tuu!
 
Nao Feza gals sec school ndivyo wasemavyo kuhusu mwanaasha: "Tumejaribu imeshindikana,na hiyo division 4,atakuwa alipiga chabo tu kwa wenzake."
 
Back
Top Bottom