Watatu wauawa daraja la Mkapa, walikataa amri ya polisi iliyowataka wasimame

Polisi walifanya vizuri kiasi... Walipaswa kuwakamata au kuwaua hao wahalifu wote. Kwani wengine sita waliendelea na safari yao kuelekea kusini.
 
Wanabodi habari za majukumu.
Nadhani tumepata taarifa za Polisi 8 wame uwawa Rufiji, Jee? Walikuwa wanawalaumu Polisi kwenye Uzi huu mtakuwa mmepata picha ya Rufiji kuna hali gani.
 
Ni wanajeshi tu.
Wewe umekula nini ?

Polisi anaruhusu kuua kama ataona maisha yake yapo hatarini au maisha ya raia ndipo atatumia silaha kupambana na adui.

Sasa jambazi akianza kufyatua risasi polisi unataka alete diplomasia na jambazi? Usilete habari za kijiwe cha mzee Khalfan
 
Sasa wale wa daraja la mkapa,walihatarisha maisha ya polisi /mtu yeyote ndipo polisi akatumia silaha? Au walianza kufyatua silaha ndo wakauwawa?
Mbona waliuwawa kwa kuto simama,na kufunika nyuso zao tu ? Yaani mpaka mwanachi wa kawaida km mm nashindwa kuelewa sheria ya polisi kuua imetengenezwa vipi,namazingira yakuua yako vipi ?
 
Back
Top Bottom