Watatu waongezwa kuandaa ripoti ya ESCROW

nzobhe

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
51
Reaction score
58
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:

1. Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.

2. Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)

3. Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii.

Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?
 
Hapo namba mbili na tatu wamepandikizwa kuua msimamo, kwani namba mbili na tatu walishasema wazi kuwa msimamo wao ni kuwa fefha hizo SI ZA UMMA. Kama ni kweli wamewaongeza hao tusitegemee jipya.
 
Wamuongezee na Mh.Lusinde anao utalaam wa kutosha
 
Hapo namba mbili na tatu wamepandikizwa kuua msimamo, kwani namba mbili na tatu walishasema wazi kuwa msimamo wao ni kuwa fefha hizo SI ZA UMMA. Kama ni kweli wamewaongeza hao tusitegemee jipya.

Waamuzi wa mwisho ni Bunge zima siyo kamati.Kamati wakiteleza bunge litarekebisha, lazima majizi haya yaende mahakamani na siyo kuwajibishwa kwa kujiuzuru, style mpya ya utawala bora wapelekwe mahakamani huku nyazifa zao zimenyofolewa.
 
Ni kweli imepungua credibility ya hiyo Kamati, Zitto ni tatizo, inamaana CUF, NCCR na CHADEMA hakuna hata mmoja ambaye angewasaidia ?
 
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasirisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:
Wakuu mnaoanzisha mada hasa mada nyeti katika jukwaa hili la Siasa.
Ni vizuri mkaachana na matumizi ya kiswahili cha mtaani.
Jukwaa hili hawaingii vijana tuu.
 
wabunge wa ccm wote wachumia tumbo bora yule Mzee Kessy
 
Hahahahahah Zitto bhana, Chadema haiwezi kufutika kwa mtindo huo..... eti katika wabunge wote waliomo humo Bungeni unawaona hao wa ccm tu....!!!!!....?????

Oooooh ati unaogopa kuwapa umaarufu Chadema?? kazi unayo ndugu yangu!!!!

BACK TANGANYIKA
 
kwani wao wanaandaa ripoti gani tena wakati wao kazi yao ni kupitia tarifa ya CAG na kutoa comenti zao.
 
Hahahahahah Zitto bhana, Chadema haiwezi kufutika kwa mtindo huo..... eti katika wabunge wote waliomo humo Bungeni unawaona hao wa ccm tu....!!!!!....?????

Oooooh ati unaogopa kuwapa umaarufu Chadema?? kazi unayo ndugu yangu!!!!

BACK TANGANYIKA

Hakuna mbunge wa chadema mwenye akili hata mmoja anayeweza kufanya kazi hiyo.
 
Kangi Lugola alisema kuwa "Kama ikibainika kuwa fedha zile ni za Umma hatakuwa na msamaha hata kama Prof. Muhongo atakuwa anahusika" kwa hiyo si kwamba alisema kuwa fedha si Umma tu, no, aliongezea hayo maneno.
 
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:

1.Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.

2.Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)

3.Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii......

Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?

Hizi kitu wangekuwa wanaturushia laivu kwenye TV, kuanzia kuwahoji hao wahusika mpaka kitu bungeni. Ingewaadabisha kiasi fulani kwa kuona aibu kwenye jamii. Nilipenda ile ya juzi juzi, kuna wale wakuu 'waliokamatwa' wakaanza kuhojiwa vijiswali na ile kamati inayoongozwa na Zitto walivyokuwa wanajing'ata ng'ata.
 
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:

1. Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.

2. Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)

3. Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii.

Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?

MTU makini hapo ni LUHAGA MPINA, KANGI TOKA MWANZO ALIONYESHA KUWA HAKUNA UFISADI KATIKA AKAUNTI HIYO
 
tuendelee kuiamini hii kamati kuwa itatuletea majibu tarajiwa
 
Hakuna jipya tunatafutiwa chenga ya mwili tutegemee jambo kubwa kutokea kuzima hili: Akili zao haioni mbali
 
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:

1. Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.

2. Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)

3. Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii.

Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?
Hamis Kigwangala sio mtu makini.
 
Back
Top Bottom