Watatu wakamatwa na Bangi debe ishirini Dodoma

Watatu wakamatwa na Bangi debe ishirini Dodoma

CountryKing

Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
26
Reaction score
8
Vijana Watatu (Majina name umri havijapatikana) wamekamatwa na madawa ya kulevya yanayosadikiwa kuwa Bangi yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda kujibu Dar es Salaam. Madawa hayo yalipakiwa katika Basi number T 931 CGU la kampuni ya New Force iliyokuwa inatoka Kahama kwenda Dar. Madawa hayo yalikuwa yamewekwa kwenye mabegi ya nguo. Ukaguzi wa mabegi unaendelea Habari zaidi fuatilia news leo.
 
Hivi tatizo la bhange ni nini,especially mtumiaji akiwa anakula vzr?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom