Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Tunasubiri kuona kama ripoti ya EPA licha ya kutaja walioiba fedha zetu na kuzirudisha kinyemela itatuambia pia kuwa watasimamishwa mahakamani kwa kuhujumu uchumi, kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu, kuiibia serikali ya Jamhuri, kughushi, kukutwa na nyara za serikali, kutoa taarifa za uongo, na kuingilia upatikanaji wa haki (obstruction of justice - sidhani kosa hili lipo TZ.. wanasheria mtanisahihisha).
Kwa vile tuko katika kusubiri naona tujaribu kupiga kura unafikiri vipi kuhusu uwezekano wa wezi wa EPA kusimamama mahakamani baada ya kurudisha kiasi kikubwa cha fedha?
wewe unatoa Hoja Gani,Mbona haujasimama mbele ya watanzania kuelezea machungu yako??tusiwe wanasiasa wa huku kwenye majukwaa.tuwe kama ndugu yetu Mtikila.tujitokeze tuelezee ..mapambano ya kalamu tu hayatoshi..Inavyoelekea hawa hawasimami kizimbani wala nini. Kama hukujua msanii namba moja ndiye yuko in control hapo Tanzania basi hii itkuwa moja ya uthibitisho wa haya!
Inavyoelekea hawa hawasimami kizimbani wala nini. Kama hukujua msanii namba moja ndiye yuko in control hapo Tanzania basi hii itkuwa moja ya uthibitisho wa haya!
wewe unatoa Hoja Gani,Mbona haujasimama mbele ya watanzania kuelezea machungu yako??tusiwe wanasiasa wa huku kwenye majukwaa.tuwe kama ndugu yetu Mtikila.tujitokeze tuelezee ..mapambano ya kalamu tu hayatoshi..

Sheria ya uhujumu wa mali ya taifa inasemaje?
wewe unatoa Hoja Gani,Mbona haujasimama mbele ya watanzania kuelezea machungu yako??tusiwe wanasiasa wa huku kwenye majukwaa.tuwe kama ndugu yetu Mtikila.tujitokeze tuelezee ..mapambano ya kalamu tu hayatoshi..
Iko hapa na wanaweza kuitumia kwa "baadhi" yao... lakini sitoshangaa kwamba hawataitumia kwani Mwanyika alipoulizwa wakati mambo haya yanaanza alikuwa anajiuliza ni sheria gani ataangalia lakini hakuitaja hii...