Watanzania wote tunakwepa kodi

Watanzania wote tunakwepa kodi

Sidhani kama umesoma vizuri kichwa cha habari na kitu nnachokijadili mimi. Unapoandika Watanzania wote tunakwepa kodi unamaanisha nini?

Kwa aina ya maswali unayouliza naona kama mjadala unataka kukuzidi kimo au kuna mahali kuna kitu hakipo sawa.
The Monk, WOTE NARUDIA WOTE kwa sababu kwa njia moja au nyingine, mahali na wakati fulani tulikwepa kulipa KODI kama wewe hutaki basi kwa umalaika wako wewe si wa dunia hii-tangulia tu tutakukuta sisi wadhambi tutakapoijiwa
 
You are right
 
Hata ukikwepa kwa kutmia sharia uliyopitisha kwa nafasi yako, ni kukwepa tu. UNAHIMIZA WATU WALIPE KODI WEWE HULIPI LAZMA AKILI ZAKO NI ZA KIWEHU WEHU

KAMA
  1. Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
  2. kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
  3. kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
 
Pale iko kodi yako na kodi yake. mama antilie alipii ili ajengewe miundombinu maana haendi kutumie peke yake? Wanaenda kutumia wengi na Pale mmesha changia wote. Kule si kulipia.
miundo mbinu uliyoitaja ni muhim kuwepo, now imagine kungekuwa hamna kodi tungekuwa wapi mpaka sasa?
Detective J, halafu mama ntilie anaenda kuilipa lini serikalini ili ajengewe zahanati, shule na barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale iko kodi yako na kodi yake. mama antilie alipii ili ajengewe miundombinu maana haendi kutumie peke yake? Wanaenda kutumia wengi na Pale mmesha changia wote. Kule si kulipia.
miundo mbinu uliyoitaja ni muhim kuwepo, now imagine kungekuwa hamna kodi tungekuwa wapi mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Detective J, hiyo kodi imelipwa na nani?
 
Mleta mada ana akili kama za juha, yani
MletaMada = Bashite =Jiwe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata mzee(JIWE) kwa UDUKUZI wake sidhani kama anaulipia kodi
 
Detective J, hiyo kodi imelipwa na nani?
Na wote. Ww , na wengine wote. The difference ni kwamba hiyo pesa ya kodi imejumuishwa kwenye pesa unayolipia huduma yoyote ile.
Mfano bei halisi ya kiberiti ni tsh 50, lakin sababu ya serikal kutaka kodi sokoni kinauzwa 100, 50 inalipa kodi, 50 nyingine inakwenda kwingine.
Ni vile haujui , otherwise ungekuwa unaenda kununua kiberiti unapata risiti mbili, ya kwanza unalipia kodi, yapili ya kununua bidhaa yenyewe.
Simple as that

"Detective J
  • Rightful taxation is the price of social order. In other words, it is that portion of the citizen's property which he yields up to the government in order to provide for the protection of all the rest. It is not to be wantonly levied on the citizen, nor levied at all except in return for benefits conferred. ~Journal of the Senate of the State of Ohio
  • The expenses of government, having for their object the interest of all, should be borne by everyone, and the more a man enjoys the advantages of society, the more he ought to hold himself honored in contributing to those expenses. ~Anne Robert Jacques Turgot
  • You can’t tax business. Business doesn’t pay taxes. It collects taxes.
    – Ronald Reagan
  • If we don't do something to simplify the tax system, we're going to end up with a national police force of internal revenue agents. ~Leon Panetta
 
Mwana CCM unaona umetoa bonge la wazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom