Watanzania wenye asili ya Rwanda

Nadhani genocide ya 1994 iliwaacha na ugonjwa Wa PTSD, poppte walipo wanajipma wanabaguliwa na kiuhalisia ukichimba sana wanajiona hawakubaliki mataifa yote walipo. Labda huko Ethiopia asili yao nako kumejaa hawawezi kurudi. Lakini watanzania Leo inaathirika mini na watutsi wafugaji tu hawajawahi kushika bundukina kuua tembo wetu wala jambazi Wa kushika silaha na kuua hayupo Tanzania. Wapo wageni wanaoua tembo misitu ya Tabora. Hao ni tishio au kwa kuwa ni wabantu hao waharibifu Wa maliasili zetu tusiwajadili.? Hisia hizi za ukabila tutakuwa tunaililia serikali njaa kila mwaka.Mhukumu MTU kwa tabiayake binafsi na so kabila. TUKO KARNE YA 21 TUKIWA MWENYE MABASI YA UKABILA.Wazungu wakigundua dawa ya malaria watatufanya kama wahindi wekundu .wakati huu ni kuwaza maendeleo I'll tuwexe kukabili second scramble for Africa isifanikiwe. Hivi miaka 50 baada ya kujitawla tumedumaa kimaendeleo ukiliganisha na Singapore na Korea tulokuwa sawa kimaendeleoni sababu ya Bahima Empire(imaginary)?Tuwaze mendeleo tuzke ukaburu Wa aina yoyote(uzawa/ukabila/udini/NINA HAMU NA TANZANIA YA VIWANDA IJE HARAKA ILI IFUTE SIASA ZA NJAA(UBAGUZI)NAWASILISHA . MATUSI YAEPUKE UNAPOJIBU
 

Mzee wangu ni Mtanzania, mama Mtanzania mwenye asili ya Rwanda. Ulichopost hapa ni story za kusadikika, hakipo!
 
Watanzania kweli akili zenu ni mnazijua wenyewe, karne 21 mnaongelea upuuzi huu wakati wenyewe huko kwao wanapiga kazi na wanaendelea kwa kasi ya unyoya. Nyie endeleeni tu na mawazo yenu ya zama za kale, mkija zinduka hamuwapati kabisa kimaendeleo.
Wewe mtutsi kaa pembeni.
 
Mkuu ndio maana nasema hawaaminiki. Hawa hata uwaajiri kwenye taasisi nyeti hawawezi kuwa wazalendo. Nawafahamu baadhi yao, wana tabia za kibinafsi sana na wanaegemea kwenye unyarwanda kuliko u-Tanzania.
 
UKO SAHIHI NA WANAPENDA KUPENDWA!UKIMSALITI ASIJUE
 

Mzee wangu ni Mtanzania, mama Mtanzania mwenye asili ya Rwanda. Ulichopost hapa ni story za kusadikika, hakipo!
 
Watutsi na wahutu ni makabila ya kiafrica na wala hawana shida,ila wanachangamoto moja tu waliyoachiwa na wakoloni UBAGUZI...!!

Mfano:Rais wa burundi,Baba mhutu mama mtutsi,ila kaamua kuwa mhutu mwenye msimamo mkali sana,wakati ana ndugu zake wengi watutsi,

Rais wa Drc Congo,Baba mhutu,mama mtutsi,ila yeye kaamua kuwa mtutsi mwenye msimamo mkali wakati ana ndugu zake wengi wahutu..

NB,katika makabila ya kanda ya maziwa makuu,hakuna kabila ambalo halijachanganya damu...kwahiyo tupendane ndugu waafrica wenzangu.

Hata hivo waafrica asili wako Sudani kusini,sisi wengine tunazingua.
 
Kama mama yeyote yule, I've never felt anything about Rwanda. Hizi misconception nimezisikia mara nyingi sana, mara Bahima empire, mara ni kawa Wayahudi n.k, binafsi sijawahi kushudia mambo hayo.
Kwa kifupi hayo mambo ya hapo na sio simulizi kuhusu Bahima.

Na ukitaka kufahamu hebu angalia vurugu zinazotokea Burundi ni kwanini nkurunzinza anapigwa kujiongezea muhula wake pili wakati kagame na mu7 hawakupigwaaa kuendelea
 
Kuna tetesi kwamba wanawake wengi wa Kinyarwanda wakiolewa na watu wa kabila nyingine, ikifika wakati wa kushika ujauzito wanatafuta wanaume wa Kinyarwanda, na iwapo wanaishi mbali na hao wanaume husafiri kwa minajili ya kupewa ujauzito. Ndio maana watoto wanajitambulisha kama wanyarwanda. Haya ni mambo yanazungumzwa mitaani, wengine hatujui kama yana ukweli au la. Labda wanaofahamu ukweli wa mambo watatujuza.
 
Hiyo kitu inasemekana sana.
 
Tru..nina rafiki zangu wawili wamezaliwa Tz na kukulia Tz bt huko huko IG mmoja anajiita Rwandan boy mwengne ni msichana nae hvo hvo anajitambulisha kama mrwanda"

Kitu nilichoona mm warwanda wengi waliseparate baada ya machafuko (mauaji ya halaiki) walikimbia nchi yao wengi wanaishi nje nchi tofauti tofauti na wamezaliwa huko ila hawa jamaa wanaile kitu yakujiproud as Rwandese so wanatumia social network kufahamiana wao kwa wao kutoka sehem tofauti tofauti na kujiona kama inawaweka karibu.
Wanahash tags zao na page wanapostiana sana IG
 
Inawezekana kabisa mkuu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…