Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
Hata sisi pia tulisoma historian kama WEWE lakini utofauti wa WEWE NA sisi ila mkuu jaribu kutembea NA kuuliza watu utajifunza kitu .Nilochokigundua history ya hilo kabila katika ukanda huu wa great lakes imepotoshwa au imekuwa exaggerated .nimesoma history o level na high school kwa Bahati mbaya au nzuri mengi yanayozungumziwa sijawahi kukutana nayo kwenye materials naona kama porojo tu zamitaani
Sawa mkuu history kuna oral na written. Ya kwako ni oral siwezi kukutalia.Hata sisi pia tulisoma historian kama WEWE lakini utofauti wa WEWE NA sisi ila mkuu jaribu kutembea NA kuuliza watu utajifunza kitu .
Kwa mfano ukisoma historia ya darasani huwa mnafundishwa kuhusu makabila toka great lakes
Ni tofauti ukitembea NA kujifunza
Kwa mfano ukienda nchi kama Rwanda au Burundi ni vigumu kujua Watusi NA wahutu kwa sababu wanaongea lugha moja .
Sio hivoo tuu hakuna lugha ya kutusi wala kihutu kikizungumzwa vijijini wala mjini hii ni tofauti NA Tanzania huku kila kabila lina Lugha ya kwaoo.
Kwaiyo ukitaka kuwatofautisha wahutu na Watusi hapo ndipo unapozungumzia Chimbuko LA BAHIMA na Ubugabilenze lakini BAHIMA ndio inayovumaa.
Na ukitaka kujifunza mengi kuhusu tembea na ujifunze toka kwa watu na vitabu
ni wanyama?sort them all and kick them out of Tanzania mitutsi siyo watu
Mkuu nilidhani wewe ni ke.kigali sehemu gani mkuu? nna mchepuko wangu pia, uko pande za Gikondo.. Ila she is a pure tutsi
Kwani wahutu na watutsi si wanatofautiana kwa muonekano tu?Hata sisi pia tulisoma historian kama WEWE lakini utofauti wa WEWE NA sisi ila mkuu jaribu kutembea NA kuuliza watu utajifunza kitu .
Kwa mfano ukisoma historia ya darasani huwa mnafundishwa kuhusu makabila toka great lakes
Ni tofauti ukitembea NA kujifunza
Kwa mfano ukienda nchi kama Rwanda au Burundi ni vigumu kujua Watusi NA wahutu kwa sababu wanaongea lugha moja .
Sio hivoo tuu hakuna lugha ya kutusi wala kihutu kikizungumzwa vijijini wala mjini hii ni tofauti NA Tanzania huku kila kabila lina Lugha ya kwaoo.
Kwaiyo ukitaka kuwatofautisha wahutu na Watusi hapo ndipo unapozungumzia Chimbuko LA BAHIMA na Ubugabilenze lakini BAHIMA ndio inayovumaa.
Na ukitaka kujifunza mengi kuhusu tembea na ujifunze toka kwa watu na vitabu
tofauti kubwa tu mkuu.tambo,sura mitazamo ni kama msandawe au mrangi na mgogoKwani wahutu na watutsi si wanatofautiana kwa muonekano tu?
duMkuu nilidhani wewe ni ke.
Wahutu na Watusi wanachotofautiana ni chimbukoKwani wahutu na watutsi si wanatofautiana kwa muonekano tu?
Point kubwa ni hiiKwA kifupi Mi nimebahatika kuishi Rwanda na kukaa na wanyarwanda kidogo.
Kwa kifupi wanyarwanda ni watu ambao hadi Leo hii wanalinda kizazi chao cha tangu enzi na enzi.
Ndio maana hadi Leo hii mabinti wa kinyarwanda popote waendapo hutambuana kwa macho , shingo ndefu na puaa na urefu wao kama twiga.
Ndio maana hadi Leo hii hata kama upo Tanzania ikitokea umezaa na binti wa kinyarwanda kitu ambacho hukifanya wao ni. Lazima amepeleke mtoto Rwanda akafanyiwe mila flani za kitusi au kihutu hapa Nina maana hata akikua MTU mzima hawezi kuisahau. Rwanda .
Na ukitaka kufahamu hilo jaribu kufatilia serikali ya kagame na wafanyakazi serikalini huwezi amini asilimia 90 wengi wamesoma Tanzania na wamepitia bodi ya mikopo kupitia kodi za watanzania.
Na siri kubwa ya wanyarwanda wakiwa Tanzania hupenda kujiita Wahaya, wanyamwezi, waha,wanyambo mbaya zaidi wapo ambao wamepenya penya na kufanya kazi serikalini ila siri yao kubwa ni moja tuu
Hawawezi kuisahau rwanda
Amakuru yawe wamkobha'we?ni jina tuu hli la jf ni ktu cha kawaida kuembrace asili yako,,,haina shda na sionei aibu
Anhaaaa!! Sasa nimeelewa kwa nini watoto wa kitutsi ni wa ukweli sana tofauti na wale wa kihutu! Kumbe sababu ni asili...Wahutu na Watusi wanachotofautiana ni chimbuko
Watusi chimbuko lao walitokea Ethiopia huko ndipo walipotokea uko ndipo chimbuko LA abatusii wahutu wao walitokea misitu ya Congo kuja maeneo ya kanda ya ziwa ila alivyokujaga mkoloni ndio aliweza kuwatenganisha kwa maumbile yao hapo badae.
Mkuu hayo unayayaona hapa ni porojo tu. Tanzania tuna wamasai, wadigo, wajaluo, wamakonde au wabemba hayo yote ni makabila ya nchi jirani pia. Kwa nini iwe ajabu tukiwa watutsi huko? Watutsi wapo Burundi, Congo, Uganda hata kenya vilevile. Lakini watu wanaibuka mara sijui hao watu sijui wana so called bahima empire sijui nini!!!!Nilochokigundua history ya hilo kabila katika ukanda huu wa great lakes imepotoshwa au imekuwa exaggerated .nimesoma history o level na high school kwa Bahati mbaya au nzuri mengi yanayozungumziwa sijawahi kukutana nayo kwenye materials naona kama porojo tu zamitaani
Hahaa mkuu kwa kifupi Leo hii ukiwangalia wadada kutoka Uganda wa kabila LA wanyakore, Watusi wa Rwanda na BurundiAnhaaaa!! Sasa nimeelewa kwa nini watoto wa kitutsi ni wa ukweli sana tofauti na wale wa kihutu! Kumbe sababu ni asili...
Ndugu fanya utafiti wako upya. Umepotoshwa kwa kiasi kikubwaHata sisi pia tulisoma historian kama WEWE lakini utofauti wa WEWE NA sisi ila mkuu jaribu kutembea NA kuuliza watu utajifunza kitu .