watanzania wengine uwa siwaelew elewi

No no hapo alipokaa sipo palipopigwa marufuku, hebu angalia vizuri Mpwa, yeye kakaa juu ya hivho kiukuta na maandishi yamekataza kukaa kando kando ya huo ukuta...kuna tofauti bhana
 
Kila neno Ni upepo tu unapita!
 
Ukitaka sehemu ikojolewe, andika marufuku kukojoa hapa!
 
Yeah. Amri nyingi (za mungu, za kiserikali nk) zimeandikwa lakin zavunjwa. Binadamu kwa ujumla ni mvunjifu wa amri.
 
View attachment 71753

apo wameandika ni marufuku kukaaa lakin jamaa amekaa

Hizo amri zinavunjwa kwa sababu aliyeandika hapo hakuweka viti ili watakaotaka kukaa hapo wakae kwenye viti. Nakumbuka serikali hii ilipoingia madarakani ilipiga marufuku matumizi ya kupikia mkaa lakini hawakutoa njia au kitu mbadala na ndio maana hadi leo hii mkaa unaendelea kutumika na misitu yetu inaangamia,tusubiri laana kutoka kwa watoto wetu.
 
No no hapo alipokaa sipo palipopigwa marufuku, hebu angalia vizuri Mpwa, yeye kakaa juu ya hivho kiukuta na maandishi yamekataza kukaa kando kando ya huo ukuta...kuna tofauti bhana

Kukaidi katazo la maandishi hayo inabidi mtu afanye sarakasi ya kukaa horizontally.
 
Sheria zimewekwa ili zivunjwe...
 
Inanikumbusha Teja mmoja alikuwa anavuta bangi Sokoni Kariakoo sehemu iliyoandikwa usivute sigara hapa,polisi alipokuja kumuuliza mbona unavuta hapa na imekatazwa jamaa akamjibu hii ni Bangi bana sio sigara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…