Watanzania wengi wanalala Stoo/Store

Watanzania wengi wanalala Stoo/Store

Hahaha pata information za China and India watu wanavyolala ndo utajua how is it here in Tanzania
 
Ni kweli mkuu tuna lala stoo kwani uwezo wetu ni kulala stoo
 
Kwani chumba chako hakiwezi kuwa store pia!?
 
Anayelala chumban na anayell stoo wote wanatafuta ucngz
 
Kuna jamaa alikuwa usiku anaingiza chumbani box la kuku,asubuhi analitoa nje!,hapo je?.
 
Back
Top Bottom