kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Watanzania wengi mitandaoni kazi ni kufatilia mambo ya umbea tu na udaku mambo ya nchi mnaachia wachache
Asilimia kubwa ya vijana wa nchi hii ni vijana wa hovyo wanajua tu kulalama na kazi yao ni kuwafatilia kina diamond na zari tu huko Instagram
Kazi za watanzania ni kufatilia nani kaachia "connection" mpya huku mambo ya nchi mkiyatekeleza na kuwaachia wachache
Mpo busy kuperuzi Instagram na kujiunga magroup ya hovyo watssap ya kusaka connection huku mambo muhimu ya nchi hata hampost wala hamfatilii, hiyo ni akili kweli?
Vijana wanafatilia mambo ya hovyo tu, ukisema mambo ya nchi unaitwa mwanasiasa ukipost mambo ya kulalamika tozo unaambiwa "broo kuwa makini litakukuta jambo" yaani vijana wa nchi hii hakuna kazi ni waoga tu..
Asilimia kubwa ya Watanzania hawazijuwi haki zao, ndo maana tunapelekwa pelekwa tu kama mang'ombe na huu utawala wa samia maana walishatusoma akili zetu
Ndo maana vijana wengi maendeleo hawana kwasababu wapo busy kufatilia mambo ya diamond sijui harmonize sijui wema kafanyaje na connection za kipuuzi
Tungelikua na mwamko wa mambo ya nchi walau asilimia 70 ya vijana wote au watz unafikiri watawala wangetuchezea hivi?sasa hivi watanzania walio active ktk mambo ya nchi mfano kupinga tozo kupost mitandaoni kupinga matozo hata 5% hawafiki wengine 95% wapo instagram wakifatilia yasiyowahusu,umbea na connection ndo maana siwezi msaidia kijana mwenzangu hata kidogo namwaacha ateseke tu maana hawana la maana kabisa ni bure kabisa
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana, aliyetulaani sijui ni nani!hadi wakenya wanatucheka vijana wa tz tulivyo watu wa hovyo.
Tungelikua tunajielewa huyu Mama tungelikua tushamtoa madarakani kisheria na maandamano ya amani
Tungekua tushamtoa SSH na genge lake kina makamba,mwigulu,na Nape kwa maandamano ya amani au kisheria
Tatizo la watanzania tumelogwa sijui na nani?Tumekua ni watu wa kulalamika tu mtandaoni na hatuchukui hatua
Watawala washaujuwa udhaifu wetu kuwa ni watu wa kulalamika tu bila lolote kufanyika watu wa kulalamika tu hata tukifanyiwa dhulma tunatulia tu kwa kua washatuona tupo hivi
Hivi Samia, nape, mwigulu na makamba ingekua ni nchi nyingine lets say kenya wangefanya mambo ya ajabu kama haya??
Ingekua washamuondoa madarakani kwa nguvu ya umma, sisi watz tupo kama tuna laana ya asili vile, tungelikua tunajielewa ccm wasingekua wanatutesa na kutugeuza kama tishu za chooni kila siku.
Tunahitaji ukombozi wa fikra na kujitambua na tulivyo watu wa ajabu kesho na 2025 tunakua tushasahau kila siku.
Jiwe alituumiza sana kila mtu alilalamika mtandaoni na mtaani kwa jinsi alivyowatesa watanzania lakini 2020 na 2021 akaanza kuigiza kwamba yu mwema tukasahau kila kitu eti leo tunamwiita shujaa ushujaa upi huo??
Tumekua ni watu wa kuchezewa tu na watawala kwa miaka mingi sasa, siku tutakapozinduka itakua too late na tutajuta tulikua wapi siku zote....
Kazi imebaki kujificha nyuma ya keyboard kusearch connection tu na udaku Instagram......Natamani hata mungu ashushe moto tuunguwe wote labda watakaozaliwa tena watakua na akili ila this generation nooo!!!