Hatutaki viongozi mafisadi wala madikteta. Uchaguzi si lazima uwe kati ya aina hizo mbili tu. Na hawa wote kiuhalisia huwa mafisadi kwa mitindo tofauti tu.Wewe unaona sawa familia kama 1000 kuibia Tanzania kwa miaka na miaka. Unafikiri ni kazi rahisi kuwathibiti "kistaraabu".
Wana mirija kila kona, usalama, jeshini, serikalini, polisi, kila sehemu. Hawakubali, hawatakubali kukata, ukate mirija yao, ukiwa "mstaarabu" watakukata wewe. Wanaelewa lugha flani tu. Unafanyaje.
Ustaarabu ni kuchukua kuwasaidia wananchi wengi wa Taifa lako. Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli. Kuzichukua kuna mbinu tofauti na kuna lugha wanayoisikia na kuielewa vizuri, haraka wenyewe kama Mafia, wahuni, majambazi na majangiri waliokubuhu lakini wana uso wa tabasamu na mtandao mzito.
Tanzania haya ndo maandamano ya kwanza kurusiwa na serekali tokea mfumo wa vyama vingi kuanza mwaka 1992... TIMING WALIIKOSEA! ... yaani kama wangepambana na Mzee Magu kama Raila alivyolianzisha na Ruto tungeona KWELI! ... HIT THE IRON WHILE STILL RED HOT!
'NA HII NI KWELI KABISA'! π
Nilishawahi kusema huko Nyuma, hakuna Watu Wapumbavu na Wanafiki kama Watanzania, kwa Africa hii tunashika namba moja...!Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforums wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza halafu muda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndio tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serikali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndio katika yale matatizo matatu ya Nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Hayo maandamano si yalikuwa ya wanasiasa , hamna hata sehem mmoja kulikuwa na mambo ya kulalamikia sukari , na kupanda kwa bidhaa , bali ni kupata tume huru itakayowafanya waendele kupata vyeoJana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforums wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza halafu muda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndio tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serikali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndio katika yale matatizo matatu ya Nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
... yakiruhusiwa ni 'MATEMBEZI YA MSHIKAMANO'!Tanzania haya ndo maandamano ya kwanza kurusiwa na serekali tokea mfumo wa vyama vingi kuanza mwaka 1992
Bado wananchi hawakushiriki sababu ya hofu
Chadema walichokosea ni kuchomekea mambo ya tume ya uchaguzi, hapo ndio watu wakashtuka, wanaandamana kwa ajili ya maslahi yao binafsi . Usifikiri watu ni wajinga, hiyo ya ugumu wa maisha ni kuzuga tu,Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti juu ya hizo changamoto anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
iki husababishwa na Ujinga !Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforums wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza halafu muda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndio tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serikali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndio katika yale matatizo matatu ya Nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Watu wengi walikuwa wanaamini maandamano yasingekuwepo na wengine walidhani kutakuwepo na vurugu !!Chadema walichokosea ni kuchomekea mambo ya tume ya uchaguzi, hapo ndio watu wakashtuka, wanaandamana kwa ajili ya maslahi yao binafsi . Usifikiri watu ni wajinga, hiyo ya ugumu wa maisha ni kuzuga tu,
Kabisa !Mlipewa umeme, maji, rushwa ilipunguzwa, nidhamu serikalini, mfumuko wa bei kuthibitiwa kama nauli, chakula, mafuta, nishati, mkajengewa vituo vya afya, mashule, masoko, stand za mabasi, vituo vya ndege, watoto wenu wakapewa elimu bure, barabara zikajengwa kwa ajili yenu kufanya shuguli zenu.
Hakukuwa na tozo, kodi vitu vya ajabu.
Aliambuli nini? Matusi ujuaji na ujinga wa kitoto, kebehi, kejeri, akabadilika hakujali tena maoni yenu.