Watanzania wavivu

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
watanzania wavivu jmn!... hebu skia hii wezi 2 walivamia bank na kufanikiwa kuiba mabunda ya hela kufika nyumbani mmoja akamwambia mwenzake "hebu zihesabu tujue ni sh ngapi" mwenzie akamjibu mimi nimechoka subiri taarifa ya habari ya sa mbili watatangaza ni kiasi gani tumeiba!
 
Wavivu kushughulisha mwili,ila akili ziko very active!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…