PauliMasao
JF-Expert Member
- Nov 26, 2007
- 286
- 39
Najua ni vigumu kueleza maana linatia uchungu lakini hili ni swala la kawaida katika mambo ya ndege. Uamuzi wa kuwapandisha watu wengine si la kibaguzi ila ni la kiupendeleo (preference).
Inatokea katika uendeshaji wa ndege. Kwa mfano taratibu za ndege zinaeleza kwamba abiria anaye connect na ndege nyingine anapewa upendeleo kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja. Akiachwa abria anaye connect kwa ndege nyingine gharama zake ni kubwa kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja.
Vile vile utaratibu wa ndege kawaida upendelea watu wanaosafiri pamoja (group) kuliko mtu mmoja mmoja. Sababu ni zile zile ukiacha group madhara yake ni makubwa kuliko mtu mmoja mmpja.
Upendeleo wa mwisho ni ule wa VIP. Ni kawaida abiria kushushwa na kumpa nafasi mtu au watu mashuhuri. Ni maamuzi ya utatanishi lakini mara nyingine hali inabidi iwe hivyo. Hili la Precision Air sijui ilikuwaje lakini nakisia wale abiria wazungu walikuwa na connection huko mbele ya safari na hivyo kupewa kipaumbele sio ubaguzi as such.
Watanzania tukimbilie wapi? Hivi hili shirika la ATCL ni vipi bado halijasimama, TZ government whats going on?? jamani kweli Miafrika ndivyo tulivyo, matatizo mpaka siku ya mwisho.
hivi jamani tuna serikali kweli????
hivi jamani tuna serikali kweli???? mnamsahau mwananchi kweli jamani /machozi yamenitoka...nina uhakika hao walioshushwa walikuwa ni wafanyabiashara wajenzi wa nchi
yaani tunawapa wazungu first priority wakati wao huwa wanatupa last priority.
Najua ni vigumu kueleza maana linatia uchungu lakini hili ni swala la kawaida katika mambo ya ndege. Uamuzi wa kuwapandisha watu wengine si la kibaguzi ila ni la kiupendeleo (preference).
Inatokea katika uendeshaji wa ndege. Kwa mfano taratibu za ndege zinaeleza kwamba abiria anaye connect na ndege nyingine anapewa upendeleo kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja. Akiachwa abria anaye connect kwa ndege nyingine gharama zake ni kubwa kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja.
Vile vile utaratibu wa ndege kawaida upendelea watu wanaosafiri pamoja (group) kuliko mtu mmoja mmoja. Sababu ni zile zile ukiacha group madhara yake ni makubwa kuliko mtu mmoja mmpja.
Upendeleo wa mwisho ni ule wa VIP. Ni kawaida abiria kushushwa na kumpa nafasi mtu au watu mashuhuri. Ni maamuzi ya utatanishi lakini mara nyingine hali inabidi iwe hivyo. Hili la Precision Air sijui ilikuwaje lakini nakisia wale abiria wazungu walikuwa na connection huko mbele ya safari na hivyo kupewa kipaumbele sio ubaguzi as such.
Najua ni vigumu kueleza maana linatia uchungu lakini hili ni swala la kawaida katika mambo ya ndege. Uamuzi wa kuwapandisha watu wengine si la kibaguzi ila ni la kiupendeleo (preference).
Inatokea katika uendeshaji wa ndege. Kwa mfano taratibu za ndege zinaeleza kwamba abiria anaye connect na ndege nyingine anapewa upendeleo kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja. Akiachwa abria anaye connect kwa ndege nyingine gharama zake ni kubwa kuliko abiria anayekwenda moja kwa moja.
Vile vile utaratibu wa ndege kawaida upendelea watu wanaosafiri pamoja (group) kuliko mtu mmoja mmoja. Sababu ni zile zile ukiacha group madhara yake ni makubwa kuliko mtu mmoja mmpja.
Upendeleo wa mwisho ni ule wa VIP. Ni kawaida abiria kushushwa na kumpa nafasi mtu au watu mashuhuri. Ni maamuzi ya utatanishi lakini mara nyingine hali inabidi iwe hivyo. Hili la Precision Air sijui ilikuwaje lakini nakisia wale abiria wazungu walikuwa na connection huko mbele ya safari na hivyo kupewa kipaumbele sio ubaguzi as such.
Waafrica wataacha lini kujiona wao ni second class na kupapatikia wazungu?
Wanaachwa kwa ustaraabu fulani na utaratibu unaoeleweka kwa mfano kulipwa gharama za usumbufu baada ya kuelezwa position ilivyo. Sidhani kama wanatakiwa kufanya usanii ( sina neno la karibu kuelezea hiyo) kama walivyofanya watu wa precision.
ndugu sio bongo kaka vinginevyo watu tungekuwa tumetajirika na ATCL hivi sasa....we ukipanda ndege shukuru mungu umetua salam mengine mwachie MUNGU
Hivi supplier wao wa mafuta ya ndege na za kuendeshea mitambo kama Ground handling equipment ni nani? au wana visima vyao! mmmmmh hii kazi inahitaji ujiandae! Dont start a project if you do not have all the materila around