Watanzania waogopeni hawa matapeli wa siasa

Ndugu wanajamvi,

Kwenye ukweli tunapaswa kuwa wakweli tuache itikadi zetu za kisiasa kwa kuwa naamini kuwa siasa siku zote inaishi ila watawala wanapita, kuna watu mienendo yao kisiasa inatia shaka kwa jinsi wanavofanya siasa zao.

Nimezisoma maandiko matakatifu na Qur'an na kunipa ujasiri,maarifa na hekima katika kuandaa hawa watu matapeli wanaowaadaa watanzania kwa nyakati tofauti, ebu tuangalie kila moja na utapeli wake;

1:TUNDU LISSU: Tukumbuke mnamo tarehe 15.sep.2007 CHADEMA kupitia katibu wao mkuu DK Slaa na lisu walitaja "A list of shame" pale mwembeyanga Tandika jijini Dar.Miongoni mwa mafisadi waliotajwa ni Edward Lowasa wakimuita fisadi papa.

Mwaka 2015 huyu huyu akijiunga na CHADEMA na kwa Bahati nzuri lisu akatamka kwenye viuga mbalimbali kuwa ile list yeye ndiye aliyeiandaa kuwa DK Slaa walishirikiana naye tuu kuisoma. Sasa hapo ndipo tunapatwa na ukakasi mkubwa na kuhoji hivi Tundu lisu atamwitaje lowasa shujaa wa mabadiliko lakini huyu ndiye waliyemuandama na tuhuma lukuki!

Akatembea naye kwenye mikoa tofauti tofauti kuelezea Lowasa alivo shujaa wa mabadiliko kweli kweli anasahau yote ya nyuma! Ata kama ni utumwa hii ni zaidi ya utumwa. Huyu huyu Tundu lisu alimwita Rais kikwete kuwa ni dhaifu na hapaswi kuliongoza Taifa lakini sasahivi amekuja mtu mkali anasema kuwa Rais kikwete ni bora na anafaa kuigwa! Hivi tutamueleweje Tundu lisu?

Kwangu Tundu lisu ni mtawala ambaye akishapata cheo huridhika na hataki mtu awe zaidi yake, Jimbo lake Singida mashariki hali ni mbaya kweli kweli Huduma za kijamii mbovu Sana lakini ata siku moja Tundu lisu hajawahi kwenda jimboni kuhamasisha au kuwawezesha vikundi mbalimbali vya akina mama na vijana.

Inasikitisha Sana mpaka mbunge mwenzake ELIBARIKI KINGU anatoka jimboni kwake kwa kuona hali mbaya iliopo kwenye jimbo la lisu na kwenda kuwawezesha vikundi vya akina mama. Lakini lisu amegeuka kuwa msemaji wa chama pale ufipa kazi ambayo ingestaili amwachie Tumaini makene, amegeuka kuwa mtengeneza propaganda za kupambana na MAGUFULI lakini hajui yule ni Rais siyo diwani au mbunge. Lisu badilika Siasa ni sayansi siyo propaganda na huo utapeli wako mwisho wako kisiasa inakuja usipobadilika.

2:FREEMAN MBOWE: Huyu mimi nawona ni mtu anayetumia siasa kufanikisha biashara zake, anawatumia akina lisu kufanikisha mambo yake.lakini hawa vijana hawashtuki, kama mnakumbuka mwalimu NYERERE aliwahi kusema ukiona chama kimevamiwa na wafanyabiashara ujue uhai wa chama ni ndogo. Wakati mwingine inabidi tufukue ata makaburi yaliyopita ili muone itusadie kwenye huu mjadala;

:KAULI HIZI 2014:

*ZITTO KABWE aanika ufisadi wa FREEMAN MBOWE - adai TUNDU LISU ni kifaranga hivyo amemtaka mama kifaranga atoke nje hadharani, pia amegusia kifo cha CHACHA WANGWE.

* Akizungumzia katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari Leo, Mwanasheria mkuu Tundu lisu kuwa mkakati wa kuwafichua viongozi wasaliti ni wa siku nyingi ambapo chama kimenasa mawasiliano ya ZITTO KABWE tangu 2009 alipokuwa akiwasiliana na akina Denis Msack wa mwananchi.

* Lissu anasema njama hizo ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya ugaidi ambapo katika mahojiano yake na Star Tv akiwa na Mwigulu akukanusha, Pia aliandika kwenye Mtandao wa CHADEMA imtose Lwakatare. Lissu anaongezea kwa sasa ZITTO ana magari mawili (2) ya mkono pia alishiriki moja kwa moja kumzui mgombea ubunge jimbo la musoma vijinini ambapo yupo mkono.

:ZITTO AJIBU PIGO ( AMJIBU LISSU):

* Zitto; naamini pia mwaka 2005 mkono alimpa million 40 MBOWE ili asifanye kampeni musoma vijijini.

* Zitto; nadhani pia MBOWE alimwambia mwaka 2008 ( baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa ) mkono alimpa freeman Tsh. Milioni 40 za uchaguzi katika jimbo la Tarime ambapo kwenye chama akatoa mkopo.

* ZITTO: nadhani pia alimwambia mwaka 2010 Mkono alimpa MBOWE tsh milioni 200 pia MBOWE alimuambia lisu lissu kuwa Rostam alilipa milioni 100 Tshs. Kwa ajili za kampeni za DK slaa.

*ZITTO; hivi lisu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka conservative party?

* ZITTO; lissu amwambie aliyemtuma amwambie ukweli wote , Lissu ajue yeye ni kifaranga tuu, namtaka Mama kifaranga ajitokeze.

* ZITTO; namtaka ajitokeze aeleze aliingia deal gan na Sumaye kufuatia deni lake 2005. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya umma ilipo Club Bilcanas.

Kwahyo watanzania wezangu mnaona kabisa juu ya ubadhirifu wa freeman MBOWE, hajawahi kujibu hizo tuhuma ambazo zito alizielezea tofauti za propaganda za hapa na pale. Huyu ndiye mtetezi wa wanyonge na anasema ana uchungu na nchi hii tunamkosea ata mungu kutamka haya!

Huyu ndiye ana tuhuma juu ya matumizi mabaya ya ruzuku lakini tunapewa majibu mepesi kwenye masuala magumu! Huyu ndiye aliongoza mikakati ya kumuingiza chamani mtu waliyemuita fisadi papa na huyu ndiye aliyeongoza kumuingiza huyo huyo waliyemuita kasisi wa mafisadi kwenye kamati kuu ya taifa kwa njia za kutatanisha.

3: SAED KUBENEA: huyu alitumia mda mwingi kumchafua Edward Lowasa na vyombo vyake lakini ilipofika mda wa uchaguzi 2015 yeye na vyombo vyake alimsafisha na kuwa mweupe kiasi kwamba hajawa na tuhuma yoyote. Vyombo vyake vikawa vinaripoti mafuriko ya lowasa tuuh ufisadi akaupa kisogo.

Ni huyu aliyemwagiwa Tindikali mpaka ikahatarisha maisha uhai wa maisha yake, yaani KUBENEA ni bonge la ndumelakiwili sijawahi k uona Tanzania, umwagiwe Tindikali kwa kuripoti ufisadi wa mtu halafu mwisho wa siku unamshika mkono kuwa ni msafi ndiye shujaa wa mabadiliko hakika mlitaka kuuza Tanzania kwa bei rahisi sanaa.

Hii hapa gazeti la mwanahalisi ambaye mkurugenzi wake ni Said kubenea.lakini sasa ndio bosi wao wamemkumbatia na ndiye shujaa wa mabadiliko! Mungu saidia hii Tanzania nchi yangu.

Mimi kama mtanzania mzalendo ni haki yangu kikatiba kuwasema hadharani wale ambao wanataka kupotosha umma. Niwape salamu watu wa Singida mashariki kuwa 2020 nitakuwa na nyie begabega kumuondoa huyu tapeli lisu nitatembea kijiji hadi kijiji kuwaelezea utapeli wa Huyu jamaa.

Mimi si mkazi wa pale ila nimepatwa na uchungu wanaopata wale watu, nitashirikiana na mgombea yoyote atakayeweka nia tofauti na CHADEMA kuhakikisha huyu tapeli anaondoka arudi ufipa akaenezee propaganda zake kwa kuwa ndiyo kipaji chake.

Tumempata Rais muadilifu na mchapakazi ambaye nchi zingine zinamlilia lakini hawa matapeli wanataka kutuvuruga kichwa yafaa tuwapuuze kabisaa.

Safari ya kuelekea uchumi wa kati bado inaendelea;

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli Tanzania.

SIMON MATO.
0762189733
Simon Mato,naam na umeamua kutoa na namba yako ya simu.
Kwa sisi wataalamu wa post za humu JF ni wazi hujakurupuka na umejiandaa vilivyo.Inawezekana pia umeandaliwa vilivyo.
Mfumo uliopo sasa ni kama ule uliopita wakati walipokuwa wakinywa bia vizibo wanaweka mfukoni kwani huenda aliye meza ya jirani akawa anahesabu ulizokunywa na kesho jina likaenda mahali.Hii inafanya kukujibu kuchukue tahadhari ya ziada,nikiamini na kuendelea kuamini umejipanga.
Inawezekana ni mkakati lakini inaweza kuwa mapungufu ila ukweli ni kuwa kuitikia na kujibu propaganda ndani ya CHADEMA kunachelewa sana.Inawezekana cybercrime law nayo inatisha watu kutiririka.watakavyo.
Lakini kwa uelewa wangu,duala la ufisadi wa Lowasa na kuingia kwake CDM Lissu alitoa ufafanuzi.In short ni kuwa kweli walimtuhumu lakini this time wamepata fursa na kukaa nae na kupata unani wa kila kitu.Nakumbuka alisema "Kamati kuu ya CDM haikujaa watu wajinga".
Kuhusu Zitto,kwangu mimi nasikitika sana kwani kwa 2020 angekuwa potential candidate mzuri wa opposition na ushindani ungekuwa mzuri mno.Naamini Mbowe anajua mazito kuhusu ZZK na mojawapo ni lile lililoandikwana amabalo halijakanushwa mpaka leo na mawasiliano ya kina na kaimu mkuu wa kitengo katika uchaguzi wa 2010.
Tunashukuru kwa post ya leo na jamvi litachangamka mno leo ila wachangiaje wote chukueni tahadhari.
 
mkuu,kwanini umetumia vitabu vitakatifu kuupamba UKIHIYO wako..vifungu gani katika maadiko vinashabiliana na uloyanena na kuyasadiki?
 
Niaminivyo mimi binadamu hajakamilika asilimia mia moja nanitaendelea kuamini hivyo mzalendo wa damu na ulikuwa ukimtizama hata matendo ongea haiba yake ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Kwa kuwa ufisadi wa freeman MBOWE umeanikwa leo mnashangilia kuwa bora siasa iwe 2020 aiseeh mna kazi!!
Watu hapa wanakuona kama punguani tu kwa sababu huo unaouita ufisadi wa Mbowe siuoni. Kinachotushangaza Huyasemi ya escrow, IPTL, Lugumi scandal zilizosababisha mpaka tukanyimwa misaada. Unakuja na habari za mbowe si mumpeleke mahakamani kama ni fisadi? Ndio maana nakwambia hapa unajichoresha wenye akili washakuona wewe ni mpiga debe usiyejielewa bora mwenzako lizaboni akitoa hoja angalau inaingia akilini.
Toa hiyo namba yako ya simu tumeshakusikia tutakupigia.
 
Hawa jamaa kila mtanzania mwenye akili timamu anajua kuwa ni matapeli tena wakubwa tu.
 
Ujui mtu kuitwa mwanasiasa ndiyo maana umewaamini kupita kiasi hiki! Hawa watu wanapiga kelele ili nyie vipofu muone na kuwashangilia ila nyuma ya pazi ni fisii ndio MBOWE mbona hajakana hizo tuhuma mpaka leoo??

Wewe ndiyo siyo tu KIPOFU,bali ni kiziwi na kiwete.Unachofurahia leo sababu Magufuli anawafanyia upinzani kesho atamfanyia nduguyo ambaye watapishana humo ndani ya CCM,ndipo utajua na utalia na kusaga meno.

Usifurahie kifo cha jirani wakati hujui cha kwako lini
 
Simon Mato,naam na umeamua kutoa na namba yako ya simu.
Kwa sisi wataalamu wa post za humu JF ni wazi hujakurupuka na umejiandaa vilivyo.Inawezekana pia umeandaliwa vilivyo.
Mfumo uliopo sasa ni kama ule uliopita wakati walipokuwa wakinywa bia vizibo wanaweka mfukoni kwani huenda aliye meza ya jirani akawa anahesabu ulizokunywa na kesho jina likaenda mahali.Hii inafanya kukujibu kuchukue tahadhari ya ziada,nikiamini na kuendelea kuamini umejipanga.
Inawezekana ni mkakati lakini inaweza kuwa mapungufu ila ukweli ni kuwa kuitikia na kujibu propaganda ndani ya CHADEMA kunachelewa sana.Inawezekana cybercrime law nayo inatisha watu kutiririka.watakavyo.
Lakini kwa uelewa wangu,duala la ufisadi wa Lowasa na kuingia kwake CDM Lissu alitoa ufafanuzi.In short ni kuwa kweli walimtuhumu lakini this time wamepata fursa na kukaa nae na kupata unani wa kila kitu.Nakumbuka alisema "Kamati kuu ya CDM haikujaa watu wajinga".
Kuhusu Zitto,kwangu mimi nasikitika sana kwani kwa 2020 angekuwa potential candidate mzuri wa opposition na ushindani ungekuwa mzuri mno.Naamini Mbowe anajua mazito kuhusu ZZK na mojawapo ni lile lililoandikwana amabalo halijakanushwa mpaka leo na mawasiliano ya kina na kaimu mkuu wa kitengo katika uchaguzi wa 2010.
Tunashukuru kwa post ya leo na jamvi litachangamka mno leo ila wachangiaje wote chukueni tahadhari.
Hakuna cha tahadhari yeyote hapa mkuu ya kuchukua .huyu ni mchumia tumbo tu hana lolote.
 
Sijaandaliwa kama unavotaka kuaminisha watu! Ila Mimi kwa Uzalendo wangu nimeuchambua na kuweka mambo bayana usiwaogopeshe watu! Kama kweli Lowasa kashaweka mambo bayana atoke nje hadharani aelezee one point after another kila aina ya tuhuma alilopewa ili tuweze kujua ukweli! Ya lissu kusoma mkuu zile zilikuwa ni propaganda tuuh kama wewe ni mzoefu wa siasa utaniamini
 
we nae wanakutegemea kutoa mchango wa kukijenga chama..teh teh teh teh,njaa ikihamia kichwani ni shida kweli kweli..
 
Mkuu unakera sana unapotumia vitabu vitakatifu kama pillar then at end of the day una attack hao wapinzani.

Ni kweli ulivyosoma hivyo vitabu vikakuelekeza matapeli wa siasa TZ wapo upinzani pekee? Fanya propaganda zako za siasa pasipo kutumia vitabu vya dini otherwise unaweza kuchafua hali hewa.
Mkuu kwa mtazamo wangu na maono yangu Mimi hawa ndio matapeli na nimeandika na kutoa mifano hapo nyingi uwezi ukanilazimisha niandike kitu ambacho sina ukweli nao!
 
Back
Top Bottom