jamani jamani jamani kama tutaanza kuwa na hates za namna hii sisi wenyewe naamini ndo maana wakoloni walitutawala bila shida
kwa imani yangu mpemba, muunguja ,( sijui wote ni wazanziberi ) mtu wa bara sisi wote ni ndugu na Africa ni moja
Ndugu yetu Masanilo yuko huko mbona anaishi kwa amani na upendo huku akifurahia upepo mwanana wa bahari ....na nchi kavu