Watanzania wanaocheza mpira nje ya nchi

yule mwarabu wa simba anafundisha oman ndiye kocha pekee wa tanzania anayefundisha nje
 
wako wengi.. kuna watanzania wengine wanacheza timu za madaraja ya chini uko ulaya. hata huku tff haiwajui
 
Back
Top Bottom