Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,233
- 26,014
- Thread starter
- #81
Sawa nashukuru mkuu maana huo Ni mtizamo wakoDogo wewe ni mpumbavu (nasema Kwa Nia njema kabisa)

Sio mtazamo ni Facts! Siku Moja utayakumbuka maneno yangu!Sawa nashukuru mkuu maana huo Ni mtizamo wako
Niyakumbukeje wakati hujaweka na kueleza ukweli kwa ushahidi juu ya kauli yako kwanguSio mtazamo ni Facts! Siku Moja utayakumbuka maneno yangu!
Dogo unataka ushahidi? Ndio ukumbuke maneno yangu? Anyway sitaacha kukwambiaNiyakumbukeje wakati hujaweka na kueleza ukweli kwa ushahidi juu ya kauli yako kwangu
Nataka uniambie sababu za Ni kwanini umenitukana pasipo kuambatabisha na hojaDogo unataka ushahidi? Ndio ukumbuke maneno yangu? Anyway sitaacha kukwambia
Sijakutukana nimekuambia kuwa wewe ni mpumbavu na Kuna siku utanielewa. Sina cha ziadaNataka uniambie sababu za Ni kwanini umenitukana pasipo kuambatabisha na hoja
SawaSijakutukana nimekuambia kuwa wewe ni mpumbavu na Kuna siku utanielewa. Sina cha ziada
Mwana unapambana kutetea hoja. Siku ukikua utaelewa.Wawekezaji wataendelea kumiminika nchini kutokana na kuwa na Imani na serikali ya CCM kwa namna ilivyoweka Sera nzuri kwa wawekezaji na hivyo kuwajengea Imani ya kuja kuwekeza hapa nchini,pia serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa mama Samia imeendelea kukamilisha miradi ya kimkakati Kama vile bwawa la mwalimu Nyerere ambalo lipo katika hatua nzuri Sana Hali itakayosaidia kulifanya Taifa letu kuwaka umeme saa 24 na hivyo kufanya bidhàa kuzalishwa kwa Bei nafuu na hivyo juuzwa kwa Bei rafiki kwa mtanzania.
Pia napenda kukuhakikishia ya kuwa chini ya serikali ya mama Samia Hakuna atakayesalimika ikiwa atabainika kugusa pesa za umma,Ni lazima akutane na Moto Usiozimika kisheria
Siyo kweli.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuzisikiliza sauti za Watanzania kutoka mitaani, imeendelea kusikia maoni na uchambuzi wa watanzania kutoka vijiwe mbalimbali juu ya Uongozi Wa Rais Samia na serikali Yake,Nimetega masikio vyema Sana kwa kuwa napenda kupata mitizamo na maoni ya Watanzania juu ya Rais Samia na serikali yake ya CCM kutokana na ukweli kuwa Mimi binafsi Namuunga mkono Rais Samia na serikali Yake ya CCM kwa asilimia Mia moja.
Muda wote nipo tayari kutoa majibu kwa watu juu ya kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia na serikali Yake ndani ya muda mfupi wa uongozi wake,Ndio maana nimekuwa mfuafiliaji mkubwa wa Taarifa mbalimbali za serikali yangu ya CCM na utekelezaji wa ilani yake iliyoleta Tabasamu na matumaini katika mioyo ya Watanzania.
Nilichogundua na kupata majibu ni kuwa kwa hakika watanzania Wana Imani kubwa Sana na Rais Samia na serikali Yake, wanamwamini Sana na kumuunga mkono kwa nguvu zao zote, katika mazungumzo yao watanzania wanafanya hivyo kutokana na kuguswa na utendaji kazi na uchapa kazi wa Rais Samia, wengi wameridhishwa na hatua mbalimbali za kiutendaji ambazo amekuwa akichukua Rais Samia katika utatuzi wa kero na changamoto mbalimbali.
Rais Samia Ameiteka mioyo ya watanzania, hata palipo na sintofahamu ya aina yoyote bado Watanzania wameelekeza macho, masikio kwake kwa matumaini makubwa Sana, wote wanaamini katika uimara, ushupavu,ujasiri na umadhubuti wake kiuongozi,hawana shida Wala wasiwasi juu yake.
Watanzania wanafahamu na kutambua ya kuwa Rais Samia siyo mkurupukaji katika maamuzi yake ya kiuongozi, wanatambua ya kuwa Nikiongozi mtulivu na mwenye Subira,Ni kiongozi anayefanya mambo na kuchukua hatua baada ya kuwa na kila kitu mkononi mwake kinyaraka na kitaarifa.
Ni kiongozi Ambaye huwezi ukajuwa Ni wakatia gani atafanya Nini Ila Ni lazima ufahamu wakati wote kuwa Rais Samia Hana Subira Wala mzaha katika maslahi ya Taifa, hana Subira Wala simile katika kumuwajibisha mtu yeyote yule bila kujali sura yake au Dini au kabila au ukanda wake anaotokea au familia yake ikiwa atabainika Kuchezea pesa za umma na kwenda kinyume na maadili ,kanuni, sheria, miongozi na taratibu za umma.
Watanzania wanafahamu namna Rais Samia alivyo na misimamo na asiyeyumba Wala kuyumbishwa,Ni kiongozi mwenye Dira na muelekeo unaoeleweka, ni kiongozi anayelitanguliza mbele Taifa letu na wakati wote amelibeba katika mabega yake kwa ujasiri na ushupavu wa Hali ya juu Sana.
Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Tuendelee kumuunga mkono na kumwamini Sana Rais wetu, Rais wetu Anayo dhamira njema Sana na Taifa letu, tumeona hayo kupitia maneno yake na matendo yake ya kizalendo, tuendelee kumwomba Mungu ili ampatie macho ya rohoni ya kufahamu ni akina nani wanafaa kuwa karibu Yake na wasaidizi wake kiutendaji, Mungu aendelee Kumjalia ujasiri na kumpatia maarifa katika kuliongoza na kulitumikia Taifa letu.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Kwakuwa mmeambiwa mtinduane wakubwa kwa wakubwa?Ndugu zangu Watanzania,

Yego mjee!Siyo kweli.
Tumia akili unapoandika hapaKwakuwa mmeambiwa mtinduane wakubwa kwa wakubwa?
Ukizidiwa kimo Cha hoja Tulia na kaa pembeni usubiri zinazoendana na kimo chako Cha uelewaWe jamaa una ufala mwingi sana, jf ongezeni makali ya ignore list inabidi hata hiz Tittle tusiwe tunaziona!
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Sema baadhi ya watanzania usiwaunganishe woteChawa wote watupishe