Mh Rais amefanya kazi kubwa Sana katika kuinua maisha ya watanzania,kila wakati ulipotokea mkwamo wa kiuchumi kidunia mh Rais wetu amekuwa akichukua hatua za ziada na makusudi katika kuwapunguzia mzigo wananchi.Wewe ni bumunda zumbukuku umkubali vp na ilhali Hali ya maisha hazikamatiki? Ufisadi umetamalaki ni matozo lukuki shukuru wewe umebahatika kuwa shoga uchungu wa maisha huujui
Mh Rais wetu Ni mtu na kiongozi makini Sana,anafanya maamuzi kwa wakati, hakuna mtu atakaye bakia salama akibainika Kuchezea Fedha za Umma,yeyote atakayebainika kufanya hivyo kwa hakika atakiona Cha Moto,atajuta kwa kupitisha katika njia ya majuto na uchungu mkubwa Sana kisheria,kila mtu atawajibishwa , watanzania wanamwamini mh Rais Ndio maana wanaendelea kumuunga mkono yeye pamoja na serikali yake ya CCMMuulize kwanza huyo mamako ni akina nani juzi aliwaita stupid, yaani wale aliowaomba wampishe!
Tena hadi sasa wamekaidi.
Halafu pia akuambie ni akina nani hasa walifadhili Roho Tour.
Tuanzie hapo kwanza...
Siyo propaganda Bali Ni ukweli kuwa watanzania wanamwamini Sana mh Rais na wanaendelea kumuunga mkono kwa kuwa wanatambua kuwa mh Rais anayodhamira ya dhati katika kuliongoza Taifa letu na kuwatumikia watanzaniaLucas tafadhali acha propaganda! Tuna mamb ya msingi ya kutafakar san juu ya mwenendo wa viongoz wa Taifa letu hasa report ya CAG iliyotoka, wee unaleta propaganda na mambo ya kusadikika asee!!!
ndugu yangu napenda kukwambia kuwa watanzania Wana Imani kubwa Sana na mh Rais na ndio maana ya kumuunga mkono kwa hatua mbalimbali katika ujenzi wa Taifa letu
Tujikite kweny tafakar juu ya report ya CAG na ufisadi mkubwa uliotokea awamu hii. Huo ndio uzalendo kukemea na kuwawajibisha wahusika na sio praise and worship!!Siyo propaganda Bali Ni ukweli kuwa watanzania wanamwamini Sana mh Rais na wanaendelea kumuunga mkono kwa kuwa wanatambua kuwa mh Rais anayodhamira ya dhati katika kuliongoza Taifa letu na kuwatumikia watanzania
Wahusika wote watachukuliwa hatua,Hii Ni serikalia isiyo na mzaha Wala utani kwa watu wote watakaokwenda kinyume na viapo vyao vua kiutumishiTujikite kweny tafakar juu ya report ya CAG na ufisadi mkubwa uliotokea awamu hii. Huo ndio uzalendo kukemea na kuwawajibisha wahusika na sio praise and worship!!
Tafadhali Lucas rudisha akili yako ya kawaida, achana na mambo ya njozi!!Wahusika wote watachukuliwa hatua,Hii Ni serikalia isiyo na mzaha Wala utani kwa watu wote watakaokwenda kinyume na viapo vyao vua kiutumishi
Kwani nimekwambia conexion gani ndg mwanaccm?., Hiyo ya shamba ndiyo hasa nolikiwa natafuta. Toa mwongozo sasa!.Connection ya Nini,Njoo shambani upatiwe Shamba ulime
Andaa pesa kwa ajili ya kukutafutia ardhi yenye rutuba na Bora kabisa kwa ajili ya kilimoKwani nimekwambia conexion gani ndg mwanaccm?., Hiyo ya shamba ndiyo hasa nolikiwa natafuta. Toa mwongozo sasa!.
Uwe na subira utaona matokeo take ndugu yanguTafadhali Lucas rudisha akili yako ya kawaida, achana na mambo ya njozi!!
Tunatamani Taifa la Tanzania lisonge mbele mfumo hautaki.. cz unalea ufisadi na ubadhirifu.Uwe na subira utaona matokeo take ndugu yangu
Tanzania inasonga mbele kwa Kasi na Wala haijasimama,Ndio maana leo hakuna wanafunzi wanao kaa chini madarasani au kujifungulia nyumbani au njiani kwa kuwa zahanati na vituo vyaa Afya kwa Sasa vipo karibu kabisa na mwananchi, kwa Sasa tuna hudum za umeme Hadi vijijini,Barabara nzuri za kuunganisha mikoa yetu na wilaya, hospital zetu zimepunguza kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa kuwa kwa Sasa uwezo wa kuwatibu wagonjwa Ni mkubwa,n.k,ongezeko la wasomi wa kila kada, vyuo vikuu na vyuo vya Kati vipo vya kutosha chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa serikali ya CCMTunatamani Taifa la Tanzania lisonge mbele mfumo hautaki.. cz unalea ufisadi na ubadhirifu.
Acha mawazo ya kikabila katika Karne hii,chambua hoja na kosoa hoja bila kutumia ukabilaSijui ni Mnyiha au Msafwa wa wapi wewe...!!!
Watanzania gani hao? Mboni sisi wengine hatuwaoni? Labda wanasifia kinafikia maana maisha yanawachalaza sana mtaani huku. Kila siku bora ya jana kuliko leo.Mimi nimeleta ujumbe wa namna watanzania wanavyomuamini Rais Samia
SInaga interest na nyimbo za shule, matundu ya choo cjui umeme haya mamb yalitakiwa yawe yamesahaulika now tudili na ishu nyingine!!Tanzania inasonga mbele kwa Kasi na Wala haijasimama,Ndio maana leo hakuna wanafunzi wanao kaa chini madarasani au kujifungulia nyumbani au njiani kwa kuwa zahanati na vituo vyaa Afya kwa Sasa vipo karibu kabisa na mwananchi, kwa Sasa tuna hudum za umeme Hadi vijijini,Barabara nzuri za kuunganisha mikoa yetu na wilaya, hospital zetu zimepunguza kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa kuwa kwa Sasa uwezo wa kuwatibu wagonjwa Ni mkubwa,n.k,ongezeko la wasomi wa kila kada, vyuo vikuu na vyuo vya Kati vipo vya kutosha chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa serikali ya CCM