Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,409
- 100,623
CCM ina vijana Wapumbavu sana wenye very low REASONING CAPACITY
Ndugu yangu lazima ukumbuke ya kuwa hata idadi ya watu inaongezeka kila mwaka ,hivyo Mahitaji nayo Ni lazima yaongezeke Zaid,Leo tupo million 61 wakati kipindi tunapata Uhuru tulikuwa million 12 je huoni hata Mahitaji yetu Ni lazima yaongezeke?SInaga interest na nyimbo za shule, matundu ya choo cjui umeme haya mamb yalitakiwa yawe yamesahaulika now tudili na ishu nyingine!!
Ungejenga hoja kuthibitisha hoja yako,maana Mimi nakupinga katika Hilo maana CCM ndio chemchemi ya kutoa viongozi walio Iva na waliobora kabisa katika kulitumikia Taifa letu kupitia serikali yetu ya ccmCCM ina vijana Wapumbavu sana wenye very low REASONING CAPACITY
Ungejenga hoja kuthibitisha hoja yako,maana Mimi nakupinga katika Hilo maana CCM ndio chemchemi ya kutoa viongozi walio Iva na waliobora kabisa katika kulitumikia Taifa letu kupitia serikali yetu ya ccmCCM ina vijana Wapumbavu sana wenye very low REASONING CAPACITY
Asante mchawi wa kisafwa.Sauti za watanzania na mioyo ya watanzania Ina Imani kubwa Sana na Rais Samia
Wanaccm tuna mashamba yetu mkuu, achana na mambo ya 10per!.Andaa pesa kwa ajili ya kukutafutia ardhi yenye rutuba na Bora kabisa kwa ajili ya kilimo
Wawekezaji wataendelea kumiminika nchini kutokana na kuwa na Imani na serikali ya CCM kwa namna ilivyoweka Sera nzuri kwa wawekezaji na hivyo kuwajengea Imani ya kuja kuwekeza hapa nchini,pia serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa mama Samia imeendelea kukamilisha miradi ya kimkakati Kama vile bwawa la mwalimu Nyerere ambalo lipo katika hatua nzuri Sana Hali itakayosaidia kulifanya Taifa letu kuwaka umeme saa 24 na hivyo kufanya bidhàa kuzalishwa kwa Bei nafuu na hivyo juuzwa kwa Bei rafiki kwa mtanzania.Unatembea kutafuta wawekezaji, ubora wa elimu kwa vijana (Nguvu kazi) ipo jini. Umeme unasua sua hata mipango ya mwamba kupata umeme wa uhakika ili wawekezaji hao waje wenyewe wanaihujumu. Hiyo imani itoke wapi? Watanzania gani hao?
Serikali za wapigaji mnajifanya mnajua propaganda sana. Jiwe alionesha tofauti, kasababisha watu wajue tofauti ya kiongozi mpigaji na kiongozi mwenye kutaka kurahisisha maisha ya watu kweli bila propaganda.
Waliobora katika kuiba na kuporaUngejenga hoja kuthibitisha hoja yako,maana Mimi nakupinga katika Hilo maana CCM ndio chemchemi ya kutoa viongozi walio Iva na waliobora kabisa katika kulitumikia Taifa letu kupitia serikali yetu ya ccm
Rais wetu mama Samia anaendelea kuleta Nuru katika mioyo na maisha ya watanzaniaMuda utaongea...
Hakuna mwizi wa Mali ya umma atakayesalimikaWaliobora katika kuiba na kupora
Unaota wewe! Sijui hata umri wakoHakuna mwizi wa Mali ya umma atakayesalimika
Umakini wake umeanzia kwenye ufisadi uliofanyika awamu ya Tano akiwa makamu .Mh Rais wetu Ni mtu na kiongozi makini Sana,anafanya maamuzi kwa wakati, hakuna mtu atakaye bakia salama akibainika Kuchezea Fedha za Umma,yeyote atakayebainika kufanya hivyo kwa hakika atakiona Cha Moto,atajuta kwa kupitisha katika njia ya majuto na uchungu mkubwa Sana kisheria,kila mtu atawajibishwa , watanzania wanamwamini mh Rais Ndio maana wanaendelea kumuunga mkono yeye pamoja na serikali yake ya CCM
Tayari Rais Samia ameshaanza kuuwasha Moto,Moto ambao hautazimwa mpaka MashimoniUnaota wewe! Sijui hata umri wako
😆😆😆😆Hilo suala liko wazi... ni Rais pekee anayekubalika sana hadi na vyama vya upinzani. Tayari CHADEMA wameshampatia tuzo ila ninatumaini tuzo nzuri zaidi toka CHADEMA itakuwa ni kutoweka mgombea urais 2025 ili hata zile 3% ya kura watakazopata iongezwe kwa Mama Samia. Au wanaweza kufanya kama ACT kwa kumtelekeza mgombea wao katikati ya kampeni.
Dogo wewe ni mpumbavu (nasema Kwa Nia njema kabisa)Tayari Rais Samia ameshaanza kuuwasha Moto,Moto ambao hautazimwa mpaka Mashimoni