Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,460
- 89,166
Waliokuwa na hofu awamu hiyo ndio hao wezi wa rasilimali ambao waliwekewa vikwazo.Awamu ya tano Watu walikuwa na hofu ya usalama wao, nazungumzia uhai wao na Uhuru wao. Awamu hii Watu wanahofu ya Rasilimali zao.
Usiwe na HOFU Tanzania ipo salama chini ya BUNGE la CHAMA kimoja hakuna KAMBI ya UPINZANI wale 19 SIO Wapinzani WAPO kwa FAIDA ya CCM ndio maana Licha ya KUTOKUWA na CHAMA lakini bado ni WABUNGE Mishahara na POSHO wanalipwa hawana MadharaHabari Wakuu!
Bado nafuatilia hofu aliyonayo mtanzania. Hofu ya kisiasa. Wasiwaai na kutokuaminiana.
Awamu ya tano Watu walikuwa na hofu ya usalama wao, nazungumzia uhai wao na Uhuru wao. Awamu hii Watu wanahofu ya Rasilimali zao.
Hofu
Wasiwasi
Mashaka!
Mali zetu jamani zinaibiwa,
Oooh! Itakuwaje Yule kateuliwa pale, ni jizi na fisadi mwenye vyeti vya Wizi. Oooh! Mkataba Fulani umeingiwa, uuuuwiii! Tumepigwa!
Hofu! Vilio! Mashaka! Hofu ya kisiasa.
Nini kifanyike?
Ni lazima apatikane kiongozi ambaye atawatoa Watanzania hofu, wajione wapo salama, wao, Uhuru wao na Rasilimali zao. Kiongozi ambaye atawafanya watanzania wajihisi salama.
Kiongozi huyu yupo au hayupo?
Kiongozi huyo kama hayupo atapatikana wapi?
Kina Nani watakuwa Wasaidizi wa kiongozi huyo?
Bila Shaka lazima wawe Watu waadilifu, wazalendo, ambao hawana tamaa na uroho wa Mali.
Nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wacha imilikishwe MWARABU kabla haijakuwa collateral ya kuchukuliwa bure na Mchina.Bandari yetu hiyoooo inamilikishwa MWARABU
Waliokuwa na hofu awamu hiyo ndio hao wezi wa rasilimali ambao waliwekewa vikwazo.
Leo hii wenye hofu ni watu wa kawaida kabisa ambao hawajui hatma za maisha yao, watu wa vipato vya chini!😃
Acheni nchi iuzwe!
Nchi Iko salama .... politically, economically, socially.
Acha wenge ......piga kazi
Watanzania tuache ugonjwa wa kuwasifia viongozi wabovu kwa kuwapamba sifa wasiokuwa nazo. Mtu anavuruga nchi mijinga inaimba anaupiga mwingiHabari Wakuu!
Bado nafuatilia hofu aliyonayo mtanzania. Hofu ya kisiasa. Wasiwaai na kutokuaminiana. Awamu ya tano Watu walikuwa na hofu ya usalama wao, nazungumzia uhai wao na Uhuru wao. Awamu hii Watu wanahofu ya Rasilimali zao.
Hofu
Wasiwasi
Mashaka!
Mali zetu jamani zinaibiwa. Oooh! Itakuwaje yule kateuliwa pale, ni jizi na fisadi mwenye vyeti vya Wizi. Oooh! Mkataba Fulani umeingiwa, uuuuwiii! Tumepigwa! Hofu! Vilio! Mashaka! Hofu ya kisiasa.
Nini kifanyike?
Ni lazima apatikane kiongozi ambaye atawatoa Watanzania hofu, wajione wapo salama, wao, Uhuru wao na Rasilimali zao. Kiongozi ambaye atawafanya watanzania wajihisi salama.
Kiongozi huyu yupo au hayupo?
Kiongozi huyo kama hayupo atapatikana wapi? Kina Nani watakuwa Wasaidizi wa kiongozi huyo? Bila Shaka lazima wawe Watu waadilifu, wazalendo, ambao hawana tamaa na uroho wa Mali.
Nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Watanzania tuache ugonjwa wa kuwasifia viongozi wabovu kwa kuwapamba sifa wasiokuwa nazo. Mtu anavuruga nchi mijinga inaimba anaupiga mwingi
Ujaweka namba ya simu mkuu! Au umesahau?Habari Wakuu!
Bado nafuatilia hofu aliyonayo mtanzania. Hofu ya kisiasa. Wasiwaai na kutokuaminiana. Awamu ya tano Watu walikuwa na hofu ya usalama wao, nazungumzia uhai wao na Uhuru wao. Awamu hii Watu wanahofu ya Rasilimali zao.
Hofu
Wasiwasi
Mashaka!
Mali zetu jamani zinaibiwa. Oooh! Itakuwaje yule kateuliwa pale, ni jizi na fisadi mwenye vyeti vya Wizi. Oooh! Mkataba Fulani umeingiwa, uuuuwiii! Tumepigwa! Hofu! Vilio! Mashaka! Hofu ya kisiasa.
Nini kifanyike?
Ni lazima apatikane kiongozi ambaye atawatoa Watanzania hofu, wajione wapo salama, wao, Uhuru wao na Rasilimali zao. Kiongozi ambaye atawafanya watanzania wajihisi salama.
Kiongozi huyu yupo au hayupo?
Kiongozi huyo kama hayupo atapatikana wapi? Kina Nani watakuwa Wasaidizi wa kiongozi huyo? Bila Shaka lazima wawe Watu waadilifu, wazalendo, ambao hawana tamaa na uroho wa Mali.
Nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Huo usalama sasaNchi Iko salama .... politically, economically, socially.
Acha wenge ......piga kazi