Watanzania wamuomba baba Askofu Gwajima kuliombea taifa

Watanzania wamuomba baba Askofu Gwajima kuliombea taifa

Nadhani maombi ya Gwajism yana nguvu cz tumeshuhudia pale mara tu alipoomba kumhusu bashite baada ya siku chache bashite alianza kulialia na pia kuanza vitendo vya uvamizi na utekaji hii ni ishara ya laana na ni majibu toka kwa Mwenyezi.
 
Huyu anayeomba mapepo yamwingie mtu mwingine sidhani kama anastahili kuombea nchi yetu
 
Yaani kama viongozi wakubwa wasipoingilia haya yanayoendelea mzee mwinyi, Mkapa na kikwete huyu bashute na hao kina babu tale na na huyo domo wataipeleka nchi pabaya kwa kweli
 
Yaani kama viongozi wakubwa wasipoingilia haya yanayoendelea mzee mwinyi, Mkapa na kikwete huyu bashute na hao kina babu tale na na huyo domo wataipeleka nchi pabaya kwa kweli
KNi kweli kabisa dada yangu umeongea point za msingi sana. Kwa haraka tu umoja,utengano, hutu wetu kama watanzania umeshapotea. Kama ni gari basi Tanzania kwa sasa ni gari bovu lilingolewa usukani huku dereva akiwa kalewa pombe.
 
Hivi kwa nn mleta mada umeamua kutumia kauli ya kujumuisha eti WATANZANIA KWA PAMOJA bila kujali itikadi zao, nani kakudanganya watanzania wote wanamuamini huyo gwajima?, ni bora ungesema baadhi ya watz ama watz wenye kumwamini Gwajima wamemwomba aliombee taifa. Ila kitendo cha kutujumuisha kwa baadhi yetu tusio na imani na huyo mchungaji wako kwamba nasi tunataka aliombee taifa si kitu kizuri. Kila mtz ana imani yake na ana viongozi wake wa kiroho anaowaamini hivyo usitumie hiyo kauli ya kujumuisha hivyo.
 
Yaani Gwajima aombee taifa?????????????????? Kama ni Mwakasege sawa
 
Back
Top Bottom