Watanzania wamewapuuza Chadema

Watanzania wamewapuuza Chadema

Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm
kweli maCCM wana macho lakini hawaoni.

ukitaka kujua nguvu ya CDM, angalia polisi walivyotawanywa mji mzima

kama mnadhani CDM hawana nguvu kwa nini mlitawanya maPOLICCM mjini?

#NoReformsNoElection
 
Polisi laazima watawanye vibaka na waporaji waliovaa nguo za Chadema
 
Hili siyo Sawa aise kipi go hcho wanao pigwa wanacdm siyo kdg naalani sana upuuz huo
 
Kmmke chadema oye no reform no electricity 😂 muhimbili matibabu ni bei juuu naandila nikiwa on bed mhmbili
mbona hiyo ni cost sharing tu, hauna BIMA?(uzembe wako) ulitaka iwe shs ngapi? hizo huduma zitajiendeshaje kama unataka iwe ni bei ya ku-bagain kama vile umenda kwa sangoma.
 
Waliompigia Lowassa akashimda 72% mwaka 2020 hawajafa wanaishi bado ...sasa nakwambia hivi mziki huu ni mnene sana... Lissu si Mbowe. Fikisha ujumbe kwa chawa wenzako.
 
Mnaipenda alafu viongozi wenu wanaumizwa na kukamatwa kama kuku? Acheni unafiki
Watanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....

Kwa hiyo unafikiri watanzania wanaipenda ccm au sio?
 
Sasa nguvu ya uma iko wapi? Mlipaswa pale Kisutu muende lundo la watu ili kuzihirisha hiyo nguvu, mkiwa wengi hao polisi hakuna kitu watafanya huwa hamuoni wenzenu kule Kenya. Nyie ni wajinga na waoga kupindukia, mtaendelea kuburuzwa na CCM mpaka mtakapo jitambua.
Mzeebaba askari wanapiga watu ovyo unafikiri watu watajitokeza?

Wasipojitokeza we unahisi wamewapuuza chadema. Haupo serious bro.
 
Sasa nguvu ya uma iko wapi? Mlipaswa pale Kisutu muende lundo la watu ili kuzihirisha hiyo nguvu, mkiwa wengi hao polisi hakuna kitu watafanya huwa hamuoni wenzenu kule Kenya. Nyie ni wajinga na waoga kupindukia, mtaendelea kuburuzwa na CCM mpaka mtakapo jitambua.
We mzee kwani we chama gani?
 
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm

Wamefeli sana hawa
 
Wameishia kukamatwa Heche, Mnyika na Hilda Newton. Hao waliokuja na mabasi 48 sijui wameishia wapi? Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom