Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
*****
MIJADALA MINGINE INAYUHUSISHA UZIMAJI WA MTANDAO NCHINI
MIJADALA MINGINE INAYUHUSISHA UZIMAJI WA MTANDAO NCHINI
- Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti
- Kuelekea 2025 - Kumbusho Dawson aishtaki Serikali kwa kuzima Intaneti wakati wa uchaguzi mkuu 2020
- Kuelekea 2025 - UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)
- Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono
- Kuelekea 2025 - CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi
- Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?
- Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo
- Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao
- Tujikumbushe Oktoba 2020 kipindi cha uchaguzi,uliteseka na mtandao ukiwa wapi?
- Kuzima intaneti ni kuminya haki za binadamu
- Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?
- Kuelekea 2025 - Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X
- Napendekeza Tanzania iufunge Mtandao wa TikTok
- Mnaacha kufunga mafisadi na wanadhulumu wananchi mnataka kufuรฑga X (Twitter) acheni unafiki
- Wakati tunamshukuru alivujisha mkataba, tujiandae pale watakapozima mtandao!
- Mwaka 2023, matukio 80 ya kuzuia internet yamerekodiwa katika nchi 21 duniani
- Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani
- Tetesi: - Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu
- TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini