Watanzania wamechoka na hali ngumu ya maisha, swaga ya utumbuaji imechosha

watu wana njaa.....lakini badala yake wanaletewa barua za ms.gwa,hivi hizi barua zinaliwa?
Sasa unataka serikali ikupikie Ugali??fanya kazi,, acha kulalamika lalamika, sasa wewe unashinda siku nzima humu JF, untegemea nini?
 
yaani viongozi wanaishi kama.paka na panya,au mbwa na paka,huyu anavizia kumtafuna yule,akipata gepu anamtafuna
 
sasa wananchi wanataka ugali mezani,wanataka serikali iboreshe hali zao kiuchumi,hali ni mbaya.

Badala yake tunasikia huyu katumbuliwa,mara sijui katenguliwa na mengine kama hayo.

watanzania wamechoka na hayo,kubwa wanalohitaji uchumi ukarabatiwe haraka sana.

sasa hivi hata akitumbuliwa malaika mkuu au kwaya ya mbinguni,huwezi kushangiliwa......shida ya nchi yetu ni uchumi
Alizoea akitumbua watu wanashangilia mwisho wa siku amesahau DJ kama anacheza record hiyo hiyo atakujashituka watu wote wametoka dancing floor
 
Leo moja kawekwa bench huku anakula mshahara mpaka atakapopangiwa kazi nyingine
 
sasa wananchi wanataka ugali mezani,wanataka serikali iboreshe hali zao kiuchumi,hali ni mbaya.

Badala yake tunasikia huyu katumbuliwa,mara sijui katenguliwa na mengine kama hayo.

watanzania wamechoka na hayo,kubwa wanalohitaji uchumi ukarabatiwe haraka sana.

sasa hivi hata akitumbuliwa malaika mkuu au kwaya ya mbinguni,huwezi kushangiliwa......shida ya nchi yetu ni uchumi
Kama umechoka hamia nchi ambayo ina rais wa kugawa fedha
 
Tunataka maji safi ya kunywa wao wanatuletea soda tena za kopo,hivi soda inaua kiu ...kiongozi mbovu ni yule asiebashiri na kutatua shida za wanachi wake
 
sasa wananchi wanataka ugali mezani,wanataka serikali iboreshe hali zao kiuchumi,hali ni mbaya.

Badala yake tunasikia huyu katumbuliwa,mara sijui katenguliwa na mengine kama hayo.

watanzania wamechoka na hayo,kubwa wanalohitaji uchumi ukarabatiwe haraka sana.

sasa hivi hata akitumbuliwa malaika mkuu au kwaya ya mbinguni,huwezi kushangiliwa......shida ya nchi yetu ni uchumi

we bila shaka utakuwa mpiga dili, kwa maana makele yote yanatoka kwao, hongera MAGUFULI KWA KUZUIA DILI HARAMU, ENDELEA KUWANYOOSHA WATAZOEA TU KUISHI KIHALALI KAMA WENGINE WANAVYOISHI
 
sasa wananchi wanataka ugali mezani,wanataka serikali iboreshe hali zao kiuchumi,hali ni mbaya.

Badala yake tunasikia huyu katumbuliwa,mara sijui katenguliwa na mengine kama hayo.

watanzania wamechoka na hayo,kubwa wanalohitaji uchumi ukarabatiwe haraka sana.

sasa hivi hata akitumbuliwa malaika mkuu au kwaya ya mbinguni,huwezi kushangiliwa......shida ya nchi yetu ni uchumi
Ndilo pekee analoweza
 
Kasema Madili yenu sasa HV hakuna mlizoea kukaa SAA Tano Asubuhi bar kunywa.
Sasa hakuna tulieni msukuma akamue Majipu yenu.
 
sasa wananchi wanataka ugali mezani,wanataka serikali iboreshe hali zao kiuchumi,hali ni mbaya.

Badala yake tunasikia huyu katumbuliwa,mara sijui katenguliwa na mengine kama hayo.

watanzania wamechoka na hayo,kubwa wanalohitaji uchumi ukarabatiwe haraka sana.

sasa hivi hata akitumbuliwa malaika mkuu au kwaya ya mbinguni,huwezi kushangiliwa......shida ya nchi yetu ni uchumi
Serikali haipeleki ugali mezani
 
Back
Top Bottom