Watanzania wamechoka na hali ngumu ya maisha, swaga ya utumbuaji imechosha

Najua watoto wa Lumumba wakikuta nyuzi km hiz lazima povu liwatoke.

Mnapenda kusifiwa ujinga tu. Wananchi wanataka ugali na siyo siasa zenu za maji taka hizo.
Serikali haijawahi kuniletea ugali hata siku moja. Acheni uzembe wa kufikiri.
 
Naona mnajitahidi!
1477762169784.jpg
1477762176317.jpg
 
Sasa unataka serikali ikupikie Ugali??fanya kazi,, acha kulalamika lalamika, sasa wewe unashinda siku nzima humu JF, untegemea nini?
Kazi gani wakati ofisi yng ya kimara imebomolewa na vitu vikiwa ndani,chini ya uangalizi wa polisi?Unayo kazi unipe?
 
we bila shaka utakuwa mpiga dili, kwa maana makele yote yanatoka kwao, hongera MAGUFULI KWA KUZUIA DILI HARAMU, ENDELEA KUWANYOOSHA WATAZOEA TU KUISHI KIHALALI KAMA WENGINE WANAVYOISHI
We nyoko kweli eti aendelee kuwanyoosha,usizuge watu nimekuona juzi unanuka jasho
 
Back
Top Bottom