Rubbish! Eti siwa-disclose!,!, My AsssssssssCurrently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Ume buugi man!
najikuta niko curious na uliposomea wewe na ulichosomea
unaonekana kama hii thread inahusu taaluma yako,is it?
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.Huoni kwa faida ya taifa hasa hao waliosoma uchumi tunapaswa kuwafahamu?
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Sijapinga lolote wala kukubali lolote. Nimetoa mtazamo wangu binafsi tu...una Haki ya kikatiba na msingi kukubali au kususia pale inapokufaa mkuu.sasa unapinga nini na kukubali nini?
taifa ni nani?si pamoja na sisi?