Watanzania wakamatwa na kilo 55 za dawa za kulevya

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Gazeti la The Citizen linaripoti kuwa Watanzania wawili wanahojiwa na polisi wa Afrika Kusini kuhusiana na kukamatwa kwa kilo 55 za dawa za kulevya. Dawa hizo za kulevya zinazokadiriwa kuwa na dhamani ya Sh. bilioni 12.7. Kati ya kilo hizo 55 zilizokamatwa, kulikuwa na kilo 25 za heroine and kilo 15 za cocaine. Watanzania hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo. Habari zaidi hapo chini.

=============

Two Tanzanians are being questioned by South African authorities in connection with a 55-kilogramme drugs haul. They will be arraigned in court tomorrow (Friday). The Hawks, South Africa's multidisciplinary agency that investigates and prosecutes organised crime and corruption, smashed a massive drug distributing syndicate in Kempton Park in Ekurhuleni in Gauteng province, seizing narcotics worth Rand 75million (Sh12.7 billion).

Hawks Spokesman Paul Ramaloko told The Citizen that officers pounced on a storage facility yesterday morning and arrested two Tanzanians who were allegedly distributing the drugs. He declined to name them, though, saying the syndicate was big and more people-including South Africans, were being pursued in connection with the crime. The narcotics include 25 kilos of heroin, 15 kilos of cocaine and 15 kilos of tik.

Mr Ramaloko described the seizure as one of their biggest successes in recent history. "We are now closing in on the big shots," he said. "We will definitely arrest more suspects…this is a very big underworld group which includes South African nationals…we will nab them."

The seizure of that haul is the second of such magnitude in four months involving Tanzanians. In July this year, two Tanzanian women were arrested transporting a haul of drugs. Agnes Gerald, 25 and also known as Masogange, and 24-year-old Melisa Edward were caught in Johannesburg with 180 kilogrammes of methamphetamine worth about Sh. 7 billion. After a two-month stint in South African jails, a Kempton Park court in Gauteng found Masogange guilty of smuggling Ephedrine or Precursor, a substance used to make drugs, and fined her R15000 (about Sh2.5 million). Edward was set free after the court heard that she had just accompanied Masogange.

In recent years, a good number of young Tanzanians have reportedly joined Johannesburg city's criminal underworld, and they are used as couriers for drug traffickers. They are lured to South Africa with the promise of a good life only to sink into drug abuse and trafficking. Because of a rise in the number of Tanzanians engaged in drug trafficking, the government proposes to tighten controls and boost investigations into drug trafficking.

The agency would function like the Prevention and Combating of Corruption Bureau. Last month, President Jakaya Kikwete cautioned Tanzanians living abroad that the government would not protect them or intercede should they be caught trafficking in drugs.

Source: Tanzanians arrested in SA with Sh13bn drugs - National - thecitizen.co.tz
 
Iko hivi,madawa yaliyoshikwa south yalikuwa store na watu waliokutwa kwenye hyo nyumba ni wabongo,demu mmoja na men mmoja,inasadikiwa kuwa mwenye mzgo ni tajiri fulani wa kibongo anaeishi south kwa sasa na hyo ni mizigo yake.

Thamani halisi ya hizo dawa sio hyo,south wanatabia ya kupandisha vitu bei kwa makusudi ila watu wa usalama walioenda kufanya kazi ya kukamata watuhumiwa wapandishwe vyeo ni kama bongo tu style za kamanda wa kanda maalumu anavyopenda kukuza mambo.
 
Agness Gerald sio masogange?, kwani amekamatwa tena au ni ile ya zamani?
 
Mali ghafi ya kutengenezea panadol hyo,wataachiwa duda si mrefu

Sent from BlackBerry 9520
 
South africa nao hovyo tu
.baada ya kuwaachia kina masogange sina hamu nao tena..km tz tu
 
South africa nao hovyo tu
.baada ya kuwaachia kina masogange sina hamu nao tena..km tz tu
Siyabonga Cwele is the minister of State Security in South Africa his wife or rather his ex- wife because they got a divorce after she was convicted of illegal drug dealing.Now if you see a minister's wife and we are talking intelligence minister here, is a drug dealer something's not right in this government. Compare that to our Lukuvis, our Kapuyas etc
 
Kapuya anayajua vyema ndiyo maana alidiriki kusema hadharani kwamba watoto wao .Hapa Kigoma hali imekuwa mbaya wakikosa unga wanakula ugoro wa Kihindi unaitwa KUBA .Vijana wetu wanakufa kwa mengi
 
Kuwa makini na uandishi wako.

Angalia hapo kwenye ulizo (??).

Mbona unamtisha? Unataka kum - ULIMBOKA, kum - CHIBANDA au kum - DR. MVUNGI? Kwa maisha tuliyo nayo, watanzania hatuna tofauti na wafu kama si kuishi kwa matumaini. Hali hiyo si nzuri sana.
 
Back
Top Bottom