Watanzania wafika Sayari ya Mars

Watanzania wafika Sayari ya Mars

Gerald Hando naye akairusha ivo ivo bila kuigoogle.
Anyway ibawezekana wasingesema ivo isingekua hot news.
 
ok nasubiri.......bebii nilikimbia mpaka kila mtu alishangaa........wakajiuliza yule ni mtu au rocket......acha kabisa bebii.........
..hahahahahahaha..ulikimbia kama Maria Mutola kwenye Olympic
 
Nmesikia clouds asubuh,ni mapacha wawil wanasoma havard,moja anasma engerniarin' na mwngne medicin habari nmeiskia kwa juu juu tu.mwenye mengne zaid atujuze.
Duh, weee jamaa ni mvivu sijapata kuona, yaani unasema mwenye taarifa zaidi akujuze ilihali taarifa yote ipo kwenye thread? Watanzania bwana?
 
Safi lakini tuwatengenezee mazingira ya kubaki nchini kwa ajilli ya kuwahudumia watanzania hasa huyu daktari
 
Mkuu inawezekana kwa ungo, si ni wabongo!?? ungo una extra super sonic speed. In a fraction of a second Mars hii afu mnarudi mnaenda Loliondo then mnamtembelea Jk........, it takes a deadman's brains to take this news as true

Mkuu umenichekesha sana, kweli lakini inavyoelekea the majority of tanzanians have bought this story na wameiamini maana comment nyingi naona hivyo.
Hawakuwa na haja ya kutudanganya kwa mengine aisee.
 
story by dotworld...hehehe
He! he! he! ... Mkuu sabasita usinishambulie mimi

Hii stori siyo yangu ... huyu jamaa Dreson3 alipost hapa stori yake nusu nusu ikawa haieleweki ... watu wakawa wanauliza anamaanisha nini?

Therefore nilichofanya mimi ni kuileta hapa ili watu waijadili waione kama ni kweli au sio kweli ndio maana nikaweka na LINK ya watu waifuatilie alafu wai-judge wenyewe
 
nahisi hii habari hawa daily news wameiwekea chumvi. NASA wana mpango wa kumpeleka binadamu wa kwanza aka orbit mars in the mid 2030, sasa nashangaa kusikia hawa wamesha orbit mars.
kwenda mars ni long trip over a year sasa hawa wame go and return sijui na chombo gani.
Mnakumbuka mwaka jana chombo cha NASA kinaitwa The Rover kilivyotua mars na ilikuwa bonge la headline kuanzia kuingia kwenye atmosphere ya mars mpaka ku land. Japo si chombo cha kwanza kutua mars lakini ilikuwa moja ya headline kwakuwa ni safari ngumu hata kama chombo hakina watu.
Muungano wa ulaya wamejaribu kutuma vyombo kadhaa na vimepotea mara kadhaa wanakula hasara.

I am glad ni watanzania lakini nina mashaka na habari yote kama ni sahihi
Juzijuzi nilikuwa naangalia Travel Channel, walikuwa wanaeleza walipofikia kwa sasa juu ya uchunguzi wa muwezekano wa maisha kwenye sayari ya Mars na wakawa wanaonyesha picha za Mars na baadhi ya Clips za huko. So far hawajaweza kupeleka binadamu huko, walituma vyombo(robots).
Labda jamaa walienda kwenye space, labda karibu na Mars lakini sio kutua kwenye Mars.
Nimejaribu kuitafuta hii habari kutoka kwenye source nyingine sijaipata, naona ni TZ na mtandao mmoja wa kiafrika.
 
Juzijuzi nilikuwa naangalia Travel Channel, walikuwa wanaeleza walipofikia kwa sasa juu ya uchunguzi wa muwezekano wa maisha kwenye sayari ya Mars na wakawa wanaonyesha picha za Mars na baadhi ya Clips za huko. So far hawajaweza kupeleka binadamu huko, walituma vyombo(robots).
Labda jamaa walienda kwenye space, labda karibu na Mars lakini sio kutua kwenye Mars.
Nimejaribu kuitafuta hii habari kutoka kwenye source nyingine sijaipata, naona ni TZ na mtandao mmoja wa kiafrika.

hata kwenda karibia na mars waka izunguka sayari ya mars wakiwa kwa juu hilo jambo bado, safari ya kwenda mars ni zaidi ya miezi 8, na hakuna chombo ambacho ki go and return. Hawa watakuwa waongo tu. Hakuna binadamu mpaka sasa ambaye walau amesha revolve around mars akiwa kwenye chombo ni robots tu ambazo zimetumwa huko na kuweza kwenda
 
kuwaona itakuwa tshs 5 uwanja wataifa kwa ajairi ya kuchangisha fedha za waliofeli form 4 kurudia mitiani yao
copy kwa Clouds FM
 
CNN, BBC, Al Jazeera, Sky News, FOX, wote kimyaaaaaaa!! Sasa ingekua mwenzao hapo!! Hadi mbwa wa nyumbani kwao wangekua interviewed na scrutinized for possible traits of genius.

Wabongo noma bwana, I wish ianzishwe BONGO STAR SEARCH ya "vichwa". Sema tu politics zinatumaliza sana.

Halafu mbona mageniuse tunao wengi wanataifshwa na USA!
 
Habari kama hizi zinatia moyo kweli.
Kila siku malalamiko kuhusu nchi na viongozi.
Kuona kuna wa Tanzania wanaojitoa muhanga kuifanya
nchi yetu isikike kwa jema inapendaza sana..

nawaombea kila jema.
Mungu Ibariki Tanzania.

(tukibadili mfumo wa elemu ndipo tutakapo ona vipiji vyingi vya wa TZ)

nje kidogo ya mada..

Kuna kijiji kinaitwa Hydom.
Hichi kijiji kinajitahidi sana tena sana kufungua vipaji
ambavyo wanafunzi wengi wamejaliwa. Kama kuna ambaye
anataka kusoma hii story zaidi
visit this blog ...
OHAYOOODA.....OHAYOOODA....OHAYOOOODAAAAAAA!
 
AISEE SISI WABONGO NI MAMBURULA NA TUMEZOEA KUINGIZANA CHAKA

UNDERLINE THIS:

"NO MAN HAS EVER ORBITING THE PLANET MARS EVER...."

USA WANAJIANDAA KU ORBIT MARS MWAKA 2033.... SASA HAWA TUNAAMBIWA TAYARI WAME ORBIT,

KINGINE JIULIZE HAWA NI ASTRONAUTS AU NI DOCTOR NA ENGINEER (MECHANICAL??)

WABONGO TUSIPENDE KUJISHADADIA ISHU ZA UONGO, NIMESIKITIKA SANA KUSOMA HII HABARI, HAINA TOFAUTI NA ILE ILIANDIKWA NA GAZETI LA MWANANCHI KWAMBA TYSON KABADILI JINSIA.

Habari ndio hiyo, Changa La Macho!!!

Nilivoona hii habari nkasema ngoja nimcheki msela wangu Google lakini nkaona bora niebdelee nione jinsi gani watu wameingizwa chaka. Ni uongo wa hali ya juu, mleta mada nae kaingia chaka fasta akaona ailere humu. Yaani jamaa ni engineer na mwengine ni doctor, halafu habari inaesema two astronout? Jamani hebu tuwe waangalifu kwanza kuliko kujiporojea tu
 
Nmesikia clouds asubuh,ni mapacha wawil wanasoma havard,moja anasma engerniarin' na mwngne medicin habari nmeiskia kwa juu juu tu.mwenye mengne zaid atujuze.

hujui kikristu nini? Mbona maelezo yakutosha katoa
 
...
visit this blog ... ...
Nimevisit nimeikuta hii:

attachment.php
 
Jana nilimshangaa sana yule mburura aliyeanza kuipost habari hii kwanza alikuwa hasomeki na hakueleweki kabisa alafu akashindwa hata kuelewa kuwa hata ma astronauts wa NASA wenyewe bado hawajaweza kutua au hata ku orbit around mars zaidi ya kutuma ma rovers na ma spacecrafts
 
Back
Top Bottom